Mwanaume Hanuni!

Ukiona kanuna na mwanamke ana furaha basi ujue wamebadilishana majukumu, mke kawa mume na mume kawa mke!!! hapo sasa!!!
 
huwezi kuwa umechakachuliwa huko nje, halafu mwanaume wako asinune eti kwasababu hiyo sio staili yao!!NO.........

Mwanaume wa ukweli huwa anasema tatizo na kuchukua hatua sio kununa kaka....kwani kununa hakumsaidii chochote tena ndio anampa mpenzi wake credits
 
ninune niue cell zangu bure, mi nakuchana ryt on point, ukikiri nacheki uzito wa kosa, then nacheki mstakabari wa ndoa yetu, mzani ukitulia nakusamehe,lyf goz on, everybody got weekness
 
Mwanaume wa ukweli huwa anasema tatizo na kuchukua hatua sio kununa kaka....kwani kununa hakumsaidii chochote tena ndio anampa mpenzi wake credits

Labda tungepata definition ya KUNUNA ingeweza kutusaidia!
 
ninune niue cell zangu bure, mi nakuchana ryt on point, ukikiri nacheki uzito wa kosa, then nacheki mstakabari wa ndoa yetu, mzani ukitulia nakusamehe,lyf goz on, everybody got weekness
akitoka mfalme suleiman kwa busara ..BASI UNAFATIA WEWE
i lik t.congrats if ts true.
 
RR chaghua mwenyewe..NKUNUNIE AU NKUKASIRIKIE kwa lile kosa la juz la kulala na joho la altaren...!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom