Mwanaume H.I.V possitive ambaye hajaoa aje tuanze maisha

Dec 29, 2015
37
22
mie ni bint wa miaka 25 ni h.i.v possitive din mkristo , mwajiliwa katik kampuni fulani hv, ni mrefu ,rangi maji ya kunde....

kwa mwanaumw aliyetayar tuyajenge maisha kwa kufarijian na upendo anakaribishw lakin awe kweli anahitaji mke sio hawara wal mpenz...

NB:awe mkristo, awe mrefu, umri aczid miaka 35, kabila lolote, mchapakaz.

aliyetayar anipm wale wa kejeli na mzah samahani.. ahsanteni
 
Mungu akujaalie haja na hitaji la moyo wako.
 
Tumechoshwa na nyodo zao bhana.. unakuta unamuita demu hata mate anaeza akakutemea,
Wakishabaki skrepa ndo wanakuja humu kutujazia server
si kila anayekuja hum kuleta uzi ni kwamba ana nyodo kumbuka kwamba kuna mambo mengi yanayochangia maambukiz...

inasikitisha sn km kuna watu wanakauli chafu kiasi hikilkn kumbuk usilolijua usilibebee bango km unaona uzi haukuhus pita tuu
 
Maneno gani hayo mkuu hayo? Binadamu mwenzako unamlinganisha na chuma chakavu kivipi unadhani we utabaki mzima milele? Pengine unao hapo ulipo hujapima tu! Maisha hujui uendako!
shamkware hajui kwamba maish yanazunguka ila mungu amsamehe sana
 
Back
Top Bottom