Nna mtaalamu mmoja ni koboko kwa kushusha mishipa wezi wa wake za watu! Ajaribu aone, ikishindikana hiyo anapata zile 'siku' sawia na mkewe, acha kabisa aisee, anga hizi wezi huwa hawakatizi, lol!
mkuu huyo ni demu, tena leo ndo ile 'safari' yake imeanza huyo
Unamuongelea PAW huyu moderator wa jukwaa la jokes? si fundi baskeli uyu? acha kumpaisha banaMie nikishikwa na kawivu kiduchu tu ama kununa anajipiga ban. PAW anajua kupenda acha tu! Na ana helicopter, kwa hiyo sina wasiwasi na vidada vya jf,lol
Huna lolote king'a... Watu ngoja wamuibukie huyo kizuka wabebe mzigo we na shem wako nito mna huu.....!Ulishawahi kusutwa na mdundiko wa kwa mtogole? Wakikuvalisha vikoi naviomba afu kama una gari ntakuwa bibi yako valentine ijayo
Mkuu hawa kina king'a wamemzuga mtoto wa watu ona sasa kaingia heda bila kutarajia,Anamaliza nekst wik, halaf habari za jikoni zinasema nitonye kakamatwa boda la guinea bissau anavusha biblia na misahafu kimagendo. Sweetlady aspoangalia anaweza akawa kizuka soon
Yaani wamemtaftia mtu ndo kwanza ana undergo evolution? uskute king'asti kumtetea kote pengine kahongwa hela ya wigi la nywele tu. Sweetlady wenyewe analala kwa jirani hela ya kodi imeisha na mzembe nitonye ndo kadakwa boda.Mkuu hawa kina king'a wamemzuga mtoto wa watu ona sasa kaingia heda bila kutarajia,
Yaani wamemtaftia mtu ndo kwanza ana undergo evolution? uskute king'asti kumtetea kote pengine kahongwa hela ya wigi la nywele tu. Sweetlady wenyewe analala kwa jirani hela ya kodi imeisha na mzembe nitonye ndo kadakwa boda.
Unamuongelea PAW huyu moderator wa jukwaa la jokes? si fundi baskeli uyu? acha kumpaisha bana
Ndyko naona kutokuwa na gari kunakutesa sana.......umeachana ha yule jirani mnyanyasaji wa lifti?