Mwanaume apigwa na mkewe

Ila mleta habari hujafafanua chanzo cha kichapo hicho kitkatifu. Unajua akipigwa mwanamke tunasema mila zinaruhusu, akipingwa mwanaume tunasema mila zimevunjwa!!!! Mapinduzi ya Feminism huko China, ni matokeo ya mkutano mkuu wa akina mama huko Beijing!!!! Na sasa kwa utandawazi wanaume tunalo!!!!

...eti kichapo kitakatifu... :D:D:D
 
Wives are now beating their husbands in Kenya.

By Daily Nations

Yes, a significant number of Kenyan men are being battered by their spouses - to the extent of seeking medical attention.
A study carried out by three universities and published in the reputable British Medical Journal of Medicine seems to give credence to claims by a lobby group claiming that about 1.5 million men in Kenya are battered by their wives.
While agreeing with the lobbyists that there is significant violence against men, the study, however, says that men are the main perpetrators of domestic violence and blames alcohol for most of the cases.
The Kenya Demographic and Health Survey of 2003 claimed that more than half of all women in their 30s have experienced domestic violence inflicted by their spouses and cited drugs and alcohol as the main inducers.
Published in March and carried out by Maseno University and the US universities of Brown and Indiana, the new study says that while men still lead in spousal battery, women are giving back almost half of what they get.
The study was carried out at a rural setting in Mosoriot, a small town close to Eldoret. It says that although more women visit the local health centre with injuries caused by their spouses, a significant number of men also do.
In a study that covered 562 violent injury patients between 2002 and 2004 at the Mosoriot Health Centre, more women than men complained of spousal assault.
"Men and women were equally likely to suffer violent injuries, however, women were more likely to suffer injury from domestic violence at about seven per cent compared to about 4.7 per cent for men," it says.
According to another study carried out by the University of South Carolina in the US, women and men perpetrate equivalent levels of physical and psychological aggression, but evidence suggests that men perpetrate sexual abuse, coercive control and stalking more frequently than women and that women are much more frequently injured during domestic violence incidents.
Meanwhile, the government has announced plans to carry out national campaigns on domestic violence in the wake of reports that men are abused by their wives.
 
pole zake shemeji kwa kweli hapa dada amekosea ila sababu ni nini? isijekuwa hicho kisu alichomwa in self defence!! Maana mara nyingi wanaume huwa na nguvu zaidi ya kina dada/mama sasa kama umezoea kumpiga siku ikifika badi awezakukupiga na chochote kilicho karibu bila kujali uhatari wa silaha hiyo.

Hata hivyo wanaume na wanawake wakorofi inafaa muelewe hatari mnayoichezea,
1. Mwanamke/mkeo ndiye anayekupikia-anawezaamua kukuwekea sumu ya kuua taratibu
2. mwenza wako (mume/mke) ndiye mtu pekee unayemwachia maisha/ uhai wako pale unapolala fofofo ukikoroma-aweza fanya lolote akiamua

Ninapofikiria haya mambo mawili huwa ninashindwa kuelewa guts za kumnyanyasa huwa wanazitoa wapi?
 
Hii ni hatari sana. Tena wanaume muwe makini sisi tuna inferiority complex ya kudundwa kila siku, tunapata kitu karibu kinakushukia kukupunguza makali. Huyo mwanaume lazima aende kushitaki kwa sababu hakutendewa haki na mkewe.

Kwenye ugonvi hakuna aibu bwana, wanaume mnaopigwa jitokezeni haraka kuripoti ili wake zenu waonywe.
 
pole zake shemeji kwa kweli hapa dada amekosea ila sababu ni nini? isijekuwa hicho kisu alichomwa in self defence!! Maana mara nyingi wanaume huwa na nguvu zaidi ya kina dada/mama sasa kama umezoea kumpiga siku ikifika badi awezakukupiga na chochote kilicho karibu bila kujali uhatari wa silaha hiyo.

Hata hivyo wanaume na wanawake wakorofi inafaa muelewe hatari mnayoichezea,
1. Mwanamke/mkeo ndiye anayekupikia-anawezaamua kukuwekea sumu ya kuua taratibu
2. mwenza wako (mume/mke) ndiye mtu pekee unayemwachia maisha/ uhai wako pale unapolala fofofo ukikoroma-aweza fanya lolote akiamua

Ninapofikiria haya mambo mawili huwa ninashindwa kuelewa guts za kumnyanyasa huwa wanazitoa wapi?

dada angu we acha tu,kuna wanawake miili mikubwa kuliko wanaume zao,sasa unafikiri jamaa siku akianzisha varangati itakuwaje?
 
dada angu we acha tu,kuna wanawake miili mikubwa kuliko wanaume zao,sasa unafikiri jamaa siku akianzisha varangati itakuwaje?

Hapo ni patashika nguo kuchanika.
Lakini habari za wanaume kupigwa na wake zao sijazisikia Tanzania wala Uganda.
 
Back
Top Bottom