Mwanaume apigwa na mkewe

Mbona hako kamwanaume kanaonekana kama kadogo. Ndoa za vipigo sio ndoa.
 
Ahaaa mi sikubali i see jamaa kama bushoke
Kuondoa uonevu wa aina hii kwa wanaume, kule kwetu kwa akina Chacha, Mwita, Marwa na Wambura, huwa tunamkabidhi kijana zana za kutunzia ndoa siku ya harusi. Zana hizo ni pamoja na Rungu, Sime, Panga, Upinde na mkuki. Mwanamke akileta za kuleta zana mojawapo inatumika na nidhamu inarejea kama kawaida.
 
huyo mama u bonsa kajifunzia wapi?huyo jamaa ana kazi inabidi aanze mazoezi ya kunyenyua vyuma sasa.
 
mbona mie siwapati wanaume wa hivi,wengine anarudi amechelewa...ukimuhoji unachezea kichapo badala ya yeye....
 
Kumpiga mwenza ni sign of inferiority and immaturity of thoughts..
 
Back
Top Bottom