Mwanaume apaka nyeti zake 'mchina'

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
Dawa zinazosadikika kuwa za Kichina, maarufu kwa jina la 'mchina' na zinazoaminika kutumiwa na baadhi ya wanawake ili kukuza makalio yao, zimezua balaa kwa mkazi mmoja wa jijini Dar Es Salaam.

Hayo yamethibitishwa na mwenywe pale alipozungumza katika redio kadhaa za FM kwa nyakati tofauti. Mkazi huyo anasema baada ya kutalikiana na wake watatu kutokana na maumbile yake madogo ya uzazi, alipewa ushauri na kuamua kuuzingatia kwa kujaribu kupaka 'mchina' katika maumbile yake.

Mwanaume huyo aliamua kutafuta 'dawa' ya tatizo lake na ndipo aliposhauriwa atumie dawa hizo almaaruf 'mchina' na baada ya siku mbili aliona mabadiliko na kufurahia tendo la ndoa na mkewe wa nne.

Balaa lilizuka pale siku baada ya siku maumbile yake yalipozidi kukua kiasi cha kushindwa kushiriki tendo la ndoa. Hadi anahojiwa na redio FM za Dar Es Salaam, tayari maumbile yake yalishatosha kilo tisa.

Mkewe wa nne naye imabidi kutimka kwani inasemekana kuwa hili limeshakuwa zigo lisilobebeka.
 
kabla ya kurusha post yako jaribu kuperuzi kidogo kurasa zote, hii post hipo humu JF na bado inaendelea kuchangiwa
 
Back
Top Bottom