mwanaume anasifiwa nini...

Unadhani sura inaweka chakula mezani au inafanya maamuzi magumu inapohitajika?

Wanaume wazuri wengi maboya,wa kuonja tu ila usifanye nao maendeleo ya mradi wowote.

Nakuibia hii huwa ya chini ya kapeti (Wanamme wengi wasio na sura za mama zao, wenye sura za baba zao, huwa wanajua kukea wewe!)Jaribu uone lol
hahahhah umechaguliwa na mwl mkuu kutoa jibu, hahaha hebu jibu ukikosa tutakupa mji lol
 
Unadhani sura inaweka chakula mezani au ionafanya maamuzi

Wanaume wazuri wengi maboya,wa kuonja tu ila usifanye nao maendeleo ya mradi wowote.

Kweli shost Wanaume wenye sura mbaya ni wapiganaji wazuri wa maendeleo na vipaumbele ktk familia. Wapaka mapooouuda noma. Anaogopa kuchafuka lol hahah, chezea wanaume wa ukweli ww. Kuitwa mwanaume c kazi ndg
 
Unadhani sura inaweka chakula mezani au inafanya maamuzi magumu inapohitajika?

Wanaume wazuri wengi maboya,wa kuonja tu ila usifanye nao maendeleo ya mradi wowote.

Nakuibia hii huwa ya chini ya kapeti (Wanamme wengi wasio na sura za mama zao, wenye sura za baba zao, huwa wanajua kukea wewe!)Jaribu uone lol

nehi nehi....pyar ku ne tahe....saa zingine sura inachangia kukupa apetaiti....
 
Mama weeee sa mbona umechelewa kunigongea hiyo secret lol, waacha nikutane nae mwenye sura ya babake nitest lol, ntakupa feedback dear hahahahahahhaah
 
ila sura ikiwa ngumu sana, unaanza kutafuta nyepesi ya kusuuzia lol, bora nini mvua au jua
 
Una miaka mingapi? Bado unapewa apetite na sura?

Una-date wenye miaka mingapi? Wasiojua how to unleash ur dragons kwa ujuzi hadi utizame sura? Pole kwa kweli lol

kama sura mali tungekimbia kwa wanawake wenzetu lol

nehi nehi....pyar ku ne tahe....saa zingine sura inachangia kukupa apetaiti....
 
wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika.....
(Source: Msondo ngoma)
lol, nenda kijijini uone wakina mama wakihangaika shambani, kuchota maji n.k. halafu njoo useme wanaume tumeumbwa kwa mateso.

I said this in another thread
In no particular order
  1. money
  2. providing/caring for wife + children
  3. calm under pressure + emergencies
  4. balancing work and family life
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom