Mwanaume anapotongozwa na mwanamke

Inategemea anauzikaje bana kama vp nampotezea tu polepole i mean kistaarabu ,lakini vivyo hivyo wenge la kutongozwa inategemea ushakutana mara ngapi na hali hii na ujasiri ulio nao wa kukisimamia unacho kiamini bila kujali kua umeomba au umeombwa mahusiano binafsi mi mara kibao tu huwa wananizingua na mbaya zaidi huwa ving'ang'anizi mbaya na ukimtosaaaa!!!atakuletea hata mkono wa Albino getho.

Ha ha haaa, Criss bwana, hapo kwenye bluu ni noma. Kwahivyo ni bora kuwakubalia eeh!
 
Nafikiri sisi ndiyo tunaharibu utaratibu mzima wa mapenzi. Hivi kweli kisasa unaweza kumbana mwenza wako asifanye anachotaka especially kama hajaoa? Atleast ukishaolewa una say walau mtu akawa na heshima kwako. We mwanaume ambaye hujaoa unataka kuwa na final say kwa GF au BF unapoteza muda wako.

Maisha ya mapenzi ukiyajua wengi wangeolewa na kuoa ila tu tuna kitu kimoja kinaitwa haraka, tena siku hizi hilo pepo ni kote kote. Mtu mmekutana nae mara moja kesho analeta hadithi za kwenda kwa wazazi kujitambulisha kweli inaleta maana? Ki upeo tu hivi unafikiri kwamba waliopita hawakuwa wazuri? Au macho yamepofukia kwako hataona tena? Tuache ushamba siku hizi unaruhusiwa kuuliza kama mapenzi ni ya wiki, siku, miezi au miaka? La sivyo unampotezea tuu achukue time. kuweni wawazi jamani uongo hatusaidii wala kujenga kwenye suala zima la mapenzi.

Na wewe mwanamke unayependa mizoga (wanaume walioowa) kuwa na heshima mwenzio ameomba mapenzi hajasema kwamba mkewe ni mbaya wala hajui kitu, amekutamani tu, una hiari ya kusema ndiyo au hapana, ukisema ndiyo uwe radhi kufata masharti. Usitume message wala kupiga simu at danger time, uwe uwe radhi kuwa mtiifu kwa kila utakachoambiwa la sivyo ukiona mashart huyawezi potezea tafuta wa size yako.

Mwe mwaume kuwa mkweli umeoa na unataka games siyo mapenzi ya ukweli, ili umueweke bibie sawa siyo uanze hadithi za alinacha, ooh mke wangu siyo powa kabisa, hana shape kama yako, piga tu anytime unayotaka mie naongea si ndiyo kidume. Umeula wa chuya!! utaleta maafa.

Gooda day!
 
<p>
Jeff Hawa alimtongozaje Adamu, ebu nisomee kifungu kinachosema? Ongea kitu ambacho ni real. Kumtongoza mwanaume ni kitu cha kawaida. Unajua kwa wanawake haitsumbui nigeuza macho na kujishebedua siyo lazima nikwambie nakupenda. matendo yanaonyesha tu. Hata kwa mwanaume siyo lazima uniambie the way unavyobehave ndiyo nitakapojua kwamba huyu ananihitaji na automatic inatiki. wewe unayesubiri etu uwambiew nakupenda wakati unadanganywa Pole zako.
</p>
<p>&nbsp;</p>

Hee heee kula 5
 
<p>
nisaidieni jamani...napata majibu yanayonichanganya... kina kaka na hata kina dada hebu niambieni..mwanaume anapotongozwa na mwanamke anajisikiaje??? ni nini mawazo yake??? Je, unamchukuliaje mwanamke liyekutongoza
</p>
<p>&nbsp;</p>

Tatiana mambo, kuna wimbo wa Jaydee una maneno yasemayo ukimfumania mume wako utakuwa juu, mimi naongezea msichana akimtongoza mwanaume na yeye yupo juuu!
 
ISHARA ZITAAMBATANA NA WALE WAAMINIO, sasa hivi ni kiishara tu hakuna mtukuuza sera kama promosheni ya vyombo vya ndani.
 
Mimi :tongue:
kama kuna mwanaume anajifanyaga sharobaro mtaani mdada jikaze umtokee yaan atageuka domo zege na mwoga.Nilishajaribu hii pindi napokuwa nataka kukwepa usumbufu wa hawa jamaa kona flani flani.
NB:hakikisha unamchania kihiphop yaan mwenyewe atazima hata kama kuna jua.
 
Marytina bana:lol::lol:
 
dah,
nimecheka bila kujua!!!!!
natamani siku moja nisikie beats za hiyo hip hop!!!!
 
nisaidieni jamani...napata majibu yanayonichanganya... kina kaka na hata kina dada hebu niambieni..mwanaume anapotongozwa na mwanamke anajisikiaje??? ni nini mawazo yake??? Je, unamchukuliaje mwanamke liyekutongoza

Naona kama vile kina dada hawawezi kukujibu kwa usahihi....
maana wao hawajui.
 
Back
Top Bottom