Mwanaume anapokuwa Irresponsible, nini anategemea?

Ajiandae kupata msaada kwenye tuta...kina mama wakiwezeshwa wanaweza, shauri yake!
 
sawa yote 9, chamsingi msitoe msaada wowote, mkiona bado hataki kuwajibika na family yake, mchukueni dada yenu mpeni mtaji afanye biashara zake, alishe watoto,na kuwasomesha, aachane na huyo bwana. Ml 20 tu zinamtosha hata wasumbua tena ji changeni mumuokoe dada yenu.
 
Habari wajameni.

Nina dadangu kaolewa na wana watoto 2, mumewe yuko kamili tu, I mean viungo vyake havina tatizo. Shule kasoma, sio sana lakini kutokusoma sio sababu ya haya afanyayo.

Kila siku yeye hana hela anampatia mkewe 10,000 kwa mwezi na kila siku anataka chakula. sister kipato chake kidogo sana, lakini yeye ndo anahudumia familia including huyo mume wake. Ajabu jamaa pombe hanywi wala sigara havuti ila kila siku hana hela na 10,000 kwa mwezi anatoa. Kila siku asubuhi anatokaga, hasemi wapi anaenda, ila jioni hurudi home na akiombwa hela yeote, iwe ya umeme, maji yeye hana. Sister mpole sana ila anaumia mno na kukoromeana nae hawezi. Last week \ mtoto wao kagundulika ana pumu, jamaa anadai hana hela, ivi ni kweli?

Kaniomba ushauri, nami naomba niwashirikishe humu jamvini mnishaurije?

...wanajuana hao, waachie na nyumba yao....maisha yote mpaka wanapata watoto wawili,
leo hii ndio alalame?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom