Mwanaume ana makalio/ wowowo zaidi ya mwanamke haipendezi bana, mmmhhh....!!!!!!!

Wameiba Kura

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
390
3
Jamani wana JF, watu tupo tofauti sana, kuna Wanaume tena wengine wameoa, najua ni
hormones za kike anazo, yaani dume limejazia ma.t.ako hata wanawake wenye makalio anawazidi au mke haoni ndani, tena basi
kiuno kidogo, yaani hadi aibu, wowowo hadi noma, linatingishika juu chini, kushoto kulia, haipendezi, hata ujizuie namna gani ukimwona akili yako inawaza ana lambwa huyu, nawashauri wavae nguo kubwa sehemu za
makalio yao.
 
ndugu katika kristo siku nyingine muangalie jirani yako kama ambavyo wewe ungependa kuangaliwa na wengine.
biblia yasema Above all, keep loving one another earnestly, since love covers a multitude of sins.1 peter 4:8
 
hivi aizak wewe ni mlokole eeh? Au swaga tu za kwenye jf?
 
Hii ni sawa na kuwacheka viwete, vipofu, viziwi, albino, na wote wenye ulemavu wa maumbile. God forgive you. I also forgive you for them.
 
Jamani wana JF, watu tupo tofauti sana, kuna Wanaume tena wengine wameoa, najua ni
hormones za kike anazo, yaani dume limejazia ma.t.ako hata wanawake wenye makalio anawazidi au mke haoni ndani, tena basi
kiuno kidogo, yaani hadi aibu, wowowo hadi noma, linatingishika juu chini, kushoto kulia, haipendezi, hata ujizuie namna gani ukimwona akili yako inawaza ana lambwa huyu, nawashauri wavae nguo kubwa sehemu za
makalio yao.
yawezekana hawakupenda kuwa hivyo ila aliyewaumba ndiyo anajua sababu.pia kuwafikiria kama wanalambwa hiyo ni imani yako kwani mimi binafsi sijawahi kuwa na mawazo mabaya juu ya maumbile yao zaidi hujikuta wananivutia kimapenzi kama lile eneo ninalolipenda kajaliwa.
sio vyema kujadili mambo kama haya
 
Jamani wana JF, watu tupo tofauti sana, kuna Wanaume tena wengine wameoa, najua ni
hormones za kike anazo, yaani dume limejazia ma.t.ako hata wanawake wenye makalio anawazidi au mke haoni ndani, tena basi
kiuno kidogo, yaani hadi aibu, wowowo hadi noma, linatingishika juu chini, kushoto kulia, haipendezi, hata ujizuie namna gani ukimwona akili yako inawaza ana lambwa huyu, nawashauri wavae nguo kubwa sehemu za
makalio yao.

Kazi ya Mungu haina makosa mkuu
 
Haya ni maumbile tu ya kawaida na sidhani kama wengi walipenda wawe hivyo!
 
hivi aizak wewe ni mlokole eeh? Au swaga tu za kwenye jf?

husninyo umenifurahisha sana, kwanza swaga maana yake nini? mimi sija okoka bado sababu bado naishi kwenye hatari nyingi katika dunia hii,ila matarajio yangu ni siku ile bwana wa majeshi atakapo kuwa akishuka mawinguni nipate kuinua uso wangu na kutazama utukufu wake bila kufa hapo ndipo nita sema nime okoka. bwana awe pamoja nawe utafakaripo maneno haya,na natamani kama tulivyo katika jf kwa pamoja tuweze kuurithi ufalme wa mbingu. ahsanteni
 
ki ukweli wanawake wanapenda mno mwanaume mwenye makalio makubwa
ili mradi yawe yamekomaaa kiume sio mtepweto tu....

kuna imani kuwa mwanaume mwenye makalio wana stamina zaidi kwenye sex....
 
[B said:
FirstLad[/B]y;1406751]yawezekana hawakupenda kuwa hivyo ila aliyewaumba ndiyo anajua sababu.pia kuwafikiria kama wanalambwa hiyo ni imani yako kwani mimi binafsi sijawahi kuwa na mawazo mabaya juu ya maumbile yao zaidi hujikuta wananivutia kimapenzi kama lile eneo ninalolipenda kajaliwa.
sio vyema kujadili mambo kama haya

Mmhhh!!
 
jamani wana jf, watu tupo tofauti sana, kuna wanaume tena wengine wameoa, najua ni
hormones za kike anazo, yaani dume limejazia ma.t.ako hata wanawake wenye makalio anawazidi au mke haoni ndani, tena basi
kiuno kidogo, yaani hadi aibu, wowowo hadi noma, linatingishika juu chini, kushoto kulia, haipendezi, hata ujizuie namna gani ukimwona akili yako inawaza ana lambwa huyu, nawashauri wavae nguo kubwa sehemu za
makalio yao.

hizi ni busara za mwendawazimu
 
ki ukweli wanawake wanapenda mno mwanaume mwenye makalio makubwa
ili mradi yawe yamekomaaa kiume sio mtepweto tu....

kuna imani kuwa mwanaume mwenye makalio wana stamina zaidi kwenye sex....

Mmmm!!1. Huu utafiti uliufanya wapi?
 
Jamani wana JF, watu tupo tofauti sana, kuna Wanaume tena wengine wameoa, najua ni
hormones za kike anazo, yaani dume limejazia ma.t.ako hata wanawake wenye makalio anawazidi au mke haoni ndani, tena basi
kiuno kidogo, yaani hadi aibu, wowowo hadi noma, linatingishika juu chini, kushoto kulia, haipendezi, hata ujizuie namna gani ukimwona akili yako inawaza ana lambwa huyu, nawashauri wavae nguo kubwa sehemu za
makalio yao.

Hivi hili ni jambo la kushangaa, haya ni maumbile ambayo hakuna anyeweza kuya-control ila muumba mwenyewe. Hivyo sioni haja ya kutumia maneno kama hayo yaliyo kwenye RED. Kama nikutoa ushauri wa vazi gani linalowafaa watu wanamna hiyo ungeweza kulitoa kwa lugha ya busara/heshima. I'm totally embarrassed :embarrassed:!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom