Mwanaume amekatwa nyeti na mkewe,kisa wivu wa mapenzi

Da! Moyo wa mtu ni kiza kinene..ukiona hamuendani si unamwacha tu kuliko kumwachia kilema!
..
Haka ka dunia ketu kamevaa sketi kweli!
 
Mwanaume mmoja nchini uganda aliyejulikana kwa jina la Lorant Tumsime amekatwa sehemu zake za siri usiku wa juzi alipokuwa amelala. Mwanaume huyo amekatwa nyeti zake na mkewe Judith Nabhakilia aliyedai kuwa,amechoshwa na uzinzi wa mumewe ambaye amewahi kumfumania mara nyingi akizini na wanawake wengine kwenye shamba lao la migomba kwa kuwa wanandoa hao ni wakulima.Hivyo aliamua kufanya maamuzi magumu ya kumvizia usiku akiwa amelala na kumkata uume wake kwa kisu kikali. Bibie Judith ametoroka na kumwacha mumewe akilazwa hospitali kwa uchungu mkubwa wa kutokujua hatma ya uanaUME wake. | | Katika historia matukio ya wanaume kukatwa nyeti zao yalilipotiwa kwa wingi nchini Thailand kati ya 1973 hadi 1980 ambapo visa 100 viliripotiwa.Pia visa hivyo vimewahi kuripotiwa Yemen na Iraq ambapo wanajeshi mashujaa walikuwa wanawakata nyeti mateka ikiwa kama ishara ya ushindi lakini,nchini china wanaume waliowahi kufanyiwa hivyo walirudishiwa nyeti zao...SWALI:Unalizungumziaje sakata hili?
kama ndo hivyo mimi na mke wangu tutakuwa tunalala kila mtu chumba chake na tunafunga na ku kufuli kwa sababu za kiusalama
 
didii said:
Mkuu,teknolojia ya tiba imefikia hali ya juu sana...kama utakuwa umewahi kusikia ni kwamba maumbile ya mwanaume yanavutika kwa mantiki kwamba kuna dawa za Afrika na China zinazoweza kunenepesha au kurefusha ile nyeti ya kina.Kinachofanyika ni kudunga sindano ya kulainisha ngozi kisha uume unachongwa (kutahiriwa kile ki-piece),then anapewa dawa ya kurefusha huo uume. Kwa taarifa nilizopata kutoka kwa ndugu wa Tumsime,itachukua mpaka miaka mitatu kuwa na normal penis but not like the previous one.Ni stori ndefu,tumwombee mwanaume mwenzetu,ili arudi kwenye ulimwengu wa mapenzi raha au shubiri?
 
Back
Top Bottom