Mwanaume afungua zipu!

Mbele ya mtumishi wa Mungu mwanaume akafungua zipu akaitoa akaiangaliaa! na kuanza kuiingiza taratiibu kwa mchumba wake,huku mwanamke machozi yakimtoka kwa raha aliyokuwanayo mpaka ilipoingia yote.

Watu wakastaajabu hawakuamini kitendo walichoshuhudia cha mwanaume yule kumuingiza mchumba wake pete ya dhahabu na kuwa watu wapya mume na mke!..hapo shangwe na vigelegele vikalipuka pale kanisani..kwa kweli ilikuwa ndoa ambayo wengi hawakuitarajia.
Niliogopa................ha ha ha
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom