Mwanaume afumwa akinadi viungo vya mkewe

dah mkuu hii inatisha..huyu jamaa akapimwe akili then wachukue hatua
Ukistajaabu ya Musa utayaona ya ....
Kuna jamaa huku Shinyanga amefumwa akinadi viungo vya mke wake baada ya kumchinja, amekutwa na kichwa, matiti pamoja na kikojoleo.
Kibaya zaidi alikuwa ananadi mbele ya polisi akisema kuwa anauza nyama.
Sijui ni ugumu wa maisha au alimchoka huyo mke wake bado ni siri yake huyo jamaa.
 
Jamani, binadamu wengi sasa siyo wale walioumbwa na mwenyezi Mungu, wameshatekwa tena sehemu nyeti sana. Imebaki tu mifano ya 'binadamu wapo hivi, lakini wenyewe waliishatoka. Mtu ambaye ana akili timamu hawezi kufanya jambo kama hilo, never. Kuna machine ipo ndani ya miili ya watu ndo inayofanya watu wafanye kufuru za ajabu. Watu wa Mungu tuzidishe maombi kwani man made laws haziwezi kuzuia mambo kama haya, zenyewe zinashughulikia matokeo tuu, hata kama mtu kishauawa. Haziwezi kuzuia kazi za shetani na ndo maana mtu kama huyu siku akirudi kwenye fahamu zake anaishia kusema shetani alinipitia. Tumtangulize Muumba katika maisha yetu.
 
Siyo bure huyo anahitaji matibabu ya akili haraka sana..................................................ndiyo madhara ya umasikini wa akili kwa bin adamu........mungu ailaze pepa peponi raha ya marehehmu..amen..
 
Jamani, binadamu wengi sasa siyo wale walioumbwa na mwenyezi Mungu, wameshatekwa tena sehemu nyeti sana. Imebaki tu mifano ya 'binadamu wapo hivi, lakini wenyewe waliishatoka. Mtu ambaye ana akili timamu hawezi kufanya jambo kama hilo, never. Kuna machine ipo ndani ya miili ya watu ndo inayofanya watu wafanye kufuru za ajabu. Watu wa Mungu tuzidishe maombi kwani man made laws haziwezi kuzuia mambo kama haya, zenyewe zinashughulikia matokeo tuu, hata kama mtu kishauawa. Haziwezi kuzuia kazi za shetani na ndo maana mtu kama huyu siku akirudi kwenye fahamu zake anaishia kusema shetani alinipitia. Tumtangulize Muumba katika maisha yetu.

aaamin
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom