Mwanaume afumwa akinadi viungo vya mkewe

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,949
4,442
Ukistajaabu ya Musa utayaona ya ....
Kuna jamaa huku Shinyanga amefumwa akinadi viungo vya mke wake baada ya kumchinja, amekutwa na kichwa, matiti pamoja na kikojoleo.
Kibaya zaidi alikuwa ananadi mbele ya polisi akisema kuwa anauza nyama.
Sijui ni ugumu wa maisha au alimchoka huyo mke wake bado ni siri yake huyo jamaa.
 
Fidel bana uko Shinyanga sehemu gani mbona mimi hiyo story sijaisikia na mimi niko hapa Ngokoro majengo???
 
Umesikia kuna kijana nae ametokewa na Bikira Maria amejibu mapigo ya babu Loliondo

ha ha hahaaaaaaaaaaaa, nimemsikia ati Fidel180

ila huyo ni pepo sio Bikira Maria, kwa wale wenzangu na mie watanielewa nini na maanisha!!
 
ana moyo mgumu sana, ameking'ofoa kitu kitamu kile, hadi kinatoka, anakikata kama nyama..dah, uyo namwonea huruma...either akili kumkichwa imechanganyikiwa au amelogwa..
 
ha ha hahaaaaaaaaaaaa, nimemsikia ati Fidel180

ila huyo ni pepo sio Bikira Maria, kwa wale wenzangu na mie watanielewa nini na maanisha!!

Kula 10 kama na wewe bado unayo hiyo kama ya mama wa Yesu
 
Binadamu wamekuwa wabaya kuliko simba
hawa waganga wa kienyeji wanacheza na akili za watu kweli
masikini mama wa watu amekufa vibaya huyo
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI
AMINA
 
mbaya zaidi alikuwa anawauzia mapolisi, alipeleka kwa polisi wanaolinda bank ya nmb kahama wao wakamwambie hawatumii hiyo kitu ila wakamwagiza kwa wenzao wa crdb wanatumia, masikini kijana wa watu akapeleka kwa polisi wanaolinda bank ya crdb, wale polisi kabla hawajalipia wakataka kuangalia ndani, ndio wakakuta hivyo viungo! alipohojiwa akadai kaambiwa ni dili akaamua kumchinja wife ajipatie kipato.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom