Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Hahahaa

Mwanaume wa hivyo inamtiririsha vibaya mno asilete ujinga hapa

Sema wanawake nao sometimes hawajitambui....jitu limekutelekeza miaka.......linarudi unalipokea yelewiiiiiii

Yaani ukiondoka usithubutu kurudi......kama shida kujua hali za wanao nitakupa namba zao za simu...au landline ya familia...

Nani anataka inzi....
Tatizo ni kuwa alipoondoka ukawa na hali mbaya na hadi anarudi bado hali ni mbaya, ukimuona unahisi heri imeshuka aacha niendelee naye make mateso niliyopata yanatosha kumbe ni balaa tupu.
 
Kwa hiyo tufe wote? Yeye kagharamika huko na raha juu kuyatafuta maradhi, aje kunipa mie maradhi bure bure? aseeeeeeee
Unakuta baada yakuondoka nawe ukasema yes sasa ndo muda wa kula gud tyme na mchepuko wako kwahiyo akirudi utaona ni sawa tu awe na maradhi hana wewe ulikochepukia huna uhakika kama pako salama
 
Mungu wangu!!!dah Anakuletea na maradhi wanawake wengi hiyo hutukuta huo no mfano mmoja tu!na wanarudi wakishafilisika maana kule pesa kwanza!!wanaume wengi wanakuja kugundua makosa yao baadae sana na wameshachelewa!!
Daah huzuni sana!
Ni kweli inasikitisha. ...WATU WASISAHAU KUWA LAZIMA UTAVUNA ULILO LIPANDA HAKUNA NJIA NYINGINE. ..
 
Unakuta baada yakuondoka nawe ukasema yes sasa ndo muda wa kula gud tyme na mchepuko wako kwahiyo akirudi utaona ni sawa tu awe na maradhi hana wewe ulikochepukia huna uhakika kama pako salama
Sio wote, wengine wanabaki wametulia tu, busy na watoto wao
 
Back
Top Bottom