Mwanaume Abakwa na Wanawake 10

HTML:
mhmhmhhh labda hakubakwa aliishiwa nguv make kitu kikilala labda uchomekee kama shati kikipata moto kinashtuka

Kwa kawaida, kijana mwenye umri huo, ana uwezo wa kuwatimizia wanawake kumi na zaidi iwapo kila mmoja atataka goli moja. inawezekana walimuumiza kwa visu kwanza kabla ya kujihudumia na kupelekea kukimbizwa hospitali.
 
HTML:

kwa kawaida, kijana mwenye umri huo, ana uwezo wa kuwatimizia wanawake kumi na zaidi iwapo kila mmoja atataka goli moja. Inawezekana walimuumiza kwa visu kwanza kabla ya kujihudumia na kupelekea kukimbizwa hospitali.

haaa kumbe ukiwa na panic unaweza kuduuu!!!???!!! Sanks kunambia hayo
 
Kwa mwanaume inakuwa ngumu kabakwa, maana kama hakili haipo kwenye tendo hilo bendera haipepei. Sasa atabakwaje bendera imesinyaa.
 
mhh nadhani hayo ni mambo ya kawaida kwa nchi za kiarabu zenye sheria kali
 
Aisee hilo zali la mentali...wat a lucky guy.flora msoffe kwenu mitaa gani?ebu tuambizane
 
HTML:

sasa kama alikuwa na panic aliwezaje kufanya wanne

hata mi nimeduwaa tu hapa! Mtu hata akiwa anachakachu kiwiz sehem af akahisi tu kama anakaribia kufumwa anashindwa ku du iweje mwanamume abakwe!?au wenzetu wanamaanisha kitu kingine!!?
 
kuingiliwa hapa inamaanisha kuingizwa kitu kwenye njia ya haja kubwa.. Sasa Nyie mnaotamani kuwa mngebakwa ninyi mngefurahi mnanipa wasiwasi!!!
 
kuingiliwa hapa inamaanisha kuingizwa kitu kwenye njia ya haja kubwa.. Sasa Nyie mnaotamani kuwa mngebakwa ninyi mngefurahi mnanipa wasiwasi!!!

UMEONAEEE!!!MWANAUME ANAINGILIA! AITHER MWANSHE OR MWANA HE( KIBAZAZI) mnaofurahia kubakwa mpoooo?????!!!
 
Mwanaume Abakwa na Wanawake 10

Kijana mwenye umri wa miaka 17 wa nchini Papua New Guinea amelazwa hospitali akipatiwa matibabu baada ya kubakwa genge la wahuni wanawake wapatao 10.

Kwa mujibu wa kamanda wa polisi wa Southern Highland, nchini Papua New Guinea, Teddy Tei, kijana huyo mwenye umri wa miaka 17 alikumbana na zahama hilo siku ya ijumaa wakati alipovamiwa na kundi la wahuni wanawake wapatao 10.

Wanawake hao wakiwa na visu walimshambulia kijana huyo kabla ya kupokezana kumbaka kwa zamu.

"Hii ni kesi tunayoifualia kwa ukaribu zaidi, tunawatafuta wanawake waliofanya unyama huu", alisema kamanda huyo wa polisi.

Taarifa ya polisi ilisema kwamba wanawake 10 wakiwa na visu walimshambulia kijana huyo na wanawake wanne kati yao walimuingilia kinguvu kijana huyo.

Kamanda Tei aliongeza kuwa kijana huyo aliwahishwa hospitali kwa matibabu zaidi.

Kijana huyo ambaye jina lake limewekwa kapuni, anafanyiwa uchunguzi ili kujua kama ameambukizwa magonjwa ya zinaa au la.

"Ugonjwa wa ukimwi ni tatizo kubwa hapa Papua New Guinea, ninahofia huenda baadhi ya wanawake waliombaka huenda wakawa ni waathirika", alisema Kamanda Tei na kuongeza.

"Nimekuwa nikiwaonya wanawake wawe waangalifu sasa inanibidi nianze kuwaonya na wanaume nao wawe waangalifu mitaani".

Yawezekana habari hii ni ya zamani, lakini ni bora kukumbushana na kuwataadharisha Vijana wetu wa Kiume nao wawe na taadhari, yasije yakawakuta yalio mkuta mwenzao!



Ina maana huyo kijana halazi? Muda wote kasimamisha tu?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom