Mwanasiasa wa ukweli....

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,602
5,569
HUWA HASIFIWI, MARA NYINGI HUKASHFIWA... Kwa sababu ya kusema kwake ukweli na kuzisimamia hoja zake.

Huwa hachaguliwi marafiki, na hutengwa na wale wasiotaka kukubaliana kutokukubaliana.

Ukiona MWANASIASA anasifiwa-sifiwa! Jua hapo hamna kitu... huyo ni mpenda sifa na siku sifa zikiisha ATATAFUTA PENGINE NA MAHALA PAPYA PA KUPATIA SIFA!

Siasa za kupambwa na kupamba zimepitwa na wakati... huu ni wakati wa mageuzi ya kifikra, tubadilike na kutafuta mustakabali wa nchi na siasa zetu...

Vinginevyo,
Tutaendelea kupambana kwa maua na mashada bila kupatikana kwa tija wala faida katika siasa zetu.

tubadilike...

Nawasilisha.
 
Hivi wewe veepeee?
Tunajenga daraja refu haijawahi tokea Afrika Mashariki na kati. Tena mkwanja wote ni wetu wenyewe na tumeamua wenyewe. Tutafanana na SAN FRANSISCO ati! Pale kitaani tumewekeza kwenye taa za kuongozea Punda na mikokoteni yake. Hii hamna popote duniani. Sasa wewe unatakaje, sifa zote hizi tumwache nani? Je unajua kitaani ndo inaelekea kua Singapore? Koma!
 
Back
Top Bottom