Mwanasiasa: Nimesema, sikusema nimesema.

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205
Sasa imekuwa kawaida kwa viongozi wetu wa kisiasa kusema jambo na wanapobanwa kuwa halikuwa sawa wanakanusha kwa kusema kuwa hawakusema.
Huu siyo uungwana.

Tunajua kukosea ni ubinadamu
Lakini kukubali kukosea ni busara, ukomavu na uungwana.
Tumezoea sasa kusikia viongozi wakisema mmenielewa vinginevyo, hiyo haikuwa maana yangu hata pale ambapo kila mmoja anajua ni uongo na maneno husika yalikuwa wazi kama mchana na bila utata wowote.
Waandishi wakati mwingine wametusaidia(kwa flash back) kuturushia maneno ya awali na hapo inabainika nani anasema kweli- mfano ni maneno ya rais juu ya Muungano wakati anazindua tume ya katiba mpaka sasa sijui nani anasema kweli na nani anadanganya. Wana habari ..please..tusaidieni…
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom