mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,641
mwache atafute soko watajuaje sasa
mleta mada ni m'mbeya! Ndio maana hamjui muhusika na uzi umeandikwa kinafiki nafiki, sasa ndo umekuja kushtaki jf wamchukulie hatua ?Kuna mijadala ya chinichini huko Zanzibar kuhusu anavyoonekana bungeni ni sehemu za wazi kwa mama huyu.wengi wanasema hawajawahi kumuona mama wa Kizanzanzibar sio tu baraza la wawakilishi hata bungeni kuwa kichwa wazi kama anavyojiachia yeye.wengi wanajidai kukaa kichwa wazi sio utamaduni wa Mzanzibar ambae kwa kiasi kikubwa ni jamii ya kiislameti wanasema wabunge na wawakilish au hata mwaziri, manaibu waziri wanaotoka visiwani haijawi kutokeakujiachiaEti wangi wanasema kutojistiri kichwa kama wanavyofanya.wanauliza kuna tofauti gani kati ya naibu waziri huyu mwenye jina la kiislam na mchungaji MAMA LUWAKATARE?
Kuna mijadala ya chinichini huko Zanzibar kuhusu anavyoonekana bungeni ni sehemu za wazi kwa mama huyu.wengi wanasema hawajawahi kumuona mama wa Kizanzanzibar sio tu baraza la wawakilishi hata bungeni kuwa kichwa wazi kama anavyojiachia yeye.wengi wanajidai kukaa kichwa wazi sio utamaduni wa Mzanzibar ambae kwa kiasi kikubwa ni jamii ya kiislameti wanasema wabunge na wawakilish au hata mwaziri, manaibu waziri wanaotoka visiwani haijawi kutokeakujiachiaEti wangi wanasema kutojistiri kichwa kama wanavyofanya.wanauliza kuna tofauti gani kati ya naibu waziri huyu mwenye jina la kiislam na mchungaji MAMA LUWAKATARE?
Hivi kwanza mnatukana wazanzibar pasipo sababu baaada ya kumtukana mtoa mada ambaye hajatoa ushahidi wowote ni maneno ya hapa na pale. ........... ila hata kama ni kweli mbona hata si suala la wazanzibari ni suala la waislamu........... think critically you guys. you are great thinkers............ ikiwa hiyo haitoshi mbona hata huo ukiristo wenu pia umeeleza the same kwamba mwanamke anatakiwa ajistiri kwa kuvaa hijaaab.... wajinga watapinga ila werevu na wajuzi watakubaliana nami.........
jee amejitolea kuchomwa moto?kwani ni dhambi kubwa mwanamke muislam kujaichia kama yeyeHilo ni lake na mmewe