Mwanasiasa, mbunge, mchungaji, nabii, mwenye shule, Chuo, Chuo Kikuu, redio na....

HEBU zitazame shule zako eti, maana toka shule zifunguliwe msimu huu matatizo ya watoto kukosa magari ya uhakika yamezidi. Basi moja limepata ajali za kipumbavu tu mara mbili.
Mama, tunazipenda shule zangu lakini jairbu na wewe kutokana na ada tunayolipa kututendea sisi wazazi haki.


Watoto pamoja na usafiri mbovu tunaambiwa eti wanakula maharagwe kila siku wakati kuna shule zinazotoza chini ya hapo lakini watoto wanapata kuku na samaki angalau mara moja moja kwa wiki.


Nakushauri fedha zinazotokana na ada ya shule sio faida ya kwenda kujenga kanisa jingine au shule au chuo kingine bali ni za kuboresha mazingira ya shule husika pamoja na kuwaongezea walimuwa wako wanaolipwa laki mbili kwa mwezi jambo ambalo haliendani kabisa na hadhi ya shule zako.


Kua tofauti. Badilika. Kila mtu nchini sasa anakujua, na nadhani Mungu na malaika mbinguni wanakuona na kukusikia kila siku. Unachotaka zaidi mama huko CCM na serikalini ni nini-Uwaziri kiasi cha kutumia ada yetu kukipiga chama chako?
Usitesekseesesanaaaaaa
Pelekaa shule za........
 
Back
Top Bottom