Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,147
Why the polls are closed?
Tumeifungua topic ili wanaotaka kupiga kura wafanye hivyo; kuna Taasisi 'flani' itatumia matokeo ya kura hizo kwenye utafiti wake, hivyo nahimiza watu kupiga kurawapi pakupiga kula????
VOTE HAPO JUU,
HATA KAMA SIO MWANACHAMA WA JF UNAWEZA KUPIGA KURA
Hii ni Opinion poll ya JF kuangalia nani ni mwanasiasa maarufu na mwenye mvuto.
Majina yako in alphabetical order
Limitation of the poll:
Nimeona niweke walau watu ambao wanaweza kuwania nafasi ya juu ya uongozi na kushinda, kama kuna mapendekezo waongezwe wengine usisite kusema. Pia nimetoa majina kutoka kwenye vyama vikuu vitatu niki-assume kwamba mtu kutoka chama kidogo hawezi kushinda.
Mkuu samahani, ila huo umaarufu ni kwa kutumia vigezo gani hasa? Kujulikana tu au umaarufu katika utendaji wa mwanasiasa husika? Manake hapo wanatofautiana, kama tukitumia kigezo cha umaarufu kwa kujulikana jibu nadhani hata wewe mwenyewe unalo tayari.
Nitashukuru nikipata ufafanuzi zaidi kabla sijapiga kura yangu.
MM ameifanyia ni nji hii? Ni walewale wa mambo jambos biashara kama kawaida!Prof. Mark mwandosya ni mchapakazi na mpenda maendeleo.