Mwanasiasa gani Tanzania mwenye mvuto namna hii?

Wanaendana na huyu..

PROFESSOR Juma Mikidadi Omari
PhD (Philosophy & Islamic studies) Edinburgh University
M.A. (Logic & Oriental Studies) SUUD;
B.A. (Islamic Law) Medina University.

Haifanani na SLAA kabisa!
Hii imefuata mfululizo mzuri wa kitaaluma!
B.A-->M.A---->PH.D

Sasa ya dr wa ukweli
certificate-------------------------------------------------------> PH.D!

Hii ni chakachua live!
 
Wewe kuwa mwangalifu hapo kwenye red! Hiyo PH. D unayoshadidia mbona magumashi tuu? Au unajifanya kipofu!
PH. D inafanywa baada ya vi-certificates tuu?, hamna Bachelor wala Masters uliona wapi? Hicho chuo kilicho mpa hiyo PH. D sidhani kama kinatambuliwa na bodi huru! Labda papa peke yake!

========================================================

EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993

TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985

St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981

St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969

Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960

========================================================
We ndo kilaza,hujui kama watu wanapata PHD even bofere Masters kutokana na what they do in their first Degree, Nenda UDSM, Ulizia Dr M.M Kissaka utaambiwa Mambo yake
 
ni mtu makini sana tena msomi na anakubalika jamii kwa ujumla
big kwako dr slaa
 
mwanasiasa gani tanzania anayeweza kuvutia umati mkubwa namna hii bila watu hao kuhongwa?-pilau, kanga, tshirt, kofia, scarf, usafiri wa bure, wasanii wa bongo flava kutumbuiza? Mimi nakumbuka nilikuwa jamhuri stadium dodoma mwaka 1989 au 1990 nyerere akiagwa alipoamua kuachia uenyekiti wa chama na wakati alipohutubia baada ya madiba kutoka gerezani, ile ya mei mosi mbeya 1995 ya mwl nyerere. Sijaona nyingine tena mpaka hii ilipotokea.

71598_457101522471_823957471_5395767_2365798_n.jpg
once we are talking about peoples power ,this is what we mean.
Viva la revolusion.
 
Haifanani na SLAA kabisa!
Hii imefuata mfululizo mzuri wa kitaaluma!
B.A-->M.A---->PH.D

Sasa ya dr wa ukweli
certificate-------------------------------------------------------> PH.D!
CHUKI YAKO NA MASLAHI BINAFSI VIMEZIDI UWEZO WAKO WA KUFIKIRIA ,BE REASONABLE AND OBJECTIVE.
 
60832_126225300761280_100001214312304_152358_4112234_n.jpg
63081_129922623724881_100001214312304_168178_1055365_n.jpg
33838_130848863632257_100001214312304_172702_1888801_n.jpg
64421_130837950300015_100001214312304_172666_3842724_n.jpg
44259_131071836943293_100001214312304_173829_972695_n.jpg
Dr slaa hakuna mwenye mvuto wakisiasa na anaekubalika tanzania kwa sasa kama Dr slaa rais wangu..!!.Usually
when people are sad they don't do anything they just CRY over their
condition but when they gel Angry they bring about a change" (MALCOLM X)
.
 
Mtoa mada umetukuna!!
Kwa ndugu zetu walemavu najisikia vibaya kuwaona mkikubali kutumika na kundi la wale wanapinga ukombozi wa watanzania wote pamoja na ninyi. Mkitafakari mtabaini hawawapendi kihivyo hao mafisadi na makuadi wao
 
Napata changamoto nyingi, lakini kikubwa ni kwamba watanzania wanaomsikiliza wana kiu na maeneo flani ambayo hayajapatiwa ufumbuzi wa dhati. Yasipopewa ufumbuzi kwa sababu ya itikadi ya vyama, hatari yake ni kubwa mno. Dr Slaa ana mapungufu yake, naomba akumbushwe tu na kwa kuwa TANZANIA ni yetu sote, nina imani atatuelewa halafu tuunganishe nguvu zetu kutokomeza Ujinga, Maradhi na Umaskini.
 
Mwanasiasa gani Tanzania anayeweza kuvutia umati mkubwa namna hii bila watu hao kuhongwa?-pilau, kanga, tshirt, kofia, scarf, usafiri wa bure, wasanii wa bongo flava kutumbuiza? Mimi nakumbuka nilikuwa Jamhuri stadium Dodoma mwaka 1989 au 1990 Nyerere akiagwa alipoamua kuachia uenyekiti wa chama na wakati alipohutubia baada ya Madiba kutoka gerezani, ile ya Mei Mosi mbeya 1995 ya Mwl Nyerere. Sijaona nyingine tena mpaka hii ilipotokea.

71598_457101522471_823957471_5395767_2365798_n.jpg

Naomba kuwauliza wale wanao tuambia nchi hii kuna udini, Je hawa wote ni wakatoliki tu? Naomba msutwe na nafsi zenu.
 
Jamani mimi sioni vizuri, hebu fananisheni na hii ya KUCHAKACHUA (attached) halafu mtanipa jibu. UMAARUFU MGUMU!
 
Attachments

  • Chakachuzi.jpg
    Chakachuzi.jpg
    79.4 KB · Views: 38
Mwanasiasa gani Tanzania anayeweza kuvutia umati mkubwa namna hii bila watu hao kuhongwa?-pilau, kanga, tshirt, kofia, scarf, usafiri wa bure, wasanii wa bongo flava kutumbuiza? Mimi nakumbuka nilikuwa Jamhuri stadium Dodoma mwaka 1989 au 1990 Nyerere akiagwa alipoamua kuachia uenyekiti wa chama na wakati alipohutubia baada ya Madiba kutoka gerezani, ile ya Mei Mosi mbeya 1995 ya Mwl Nyerere. Sijaona nyingine tena mpaka hii ilipotokea.

71598_457101522471_823957471_5395767_2365798_n.jpg
Ni maandishi tosha ukutani ...!!!
 
Wewe kuwa mwangalifu hapo kwenye red! Hiyo PH. D unayoshadidia mbona magumashi tuu? Au unajifanya kipofu!
PH. D inafanywa baada ya vi-certificates tuu?, hamna Bachelor wala Masters uliona wapi? Hicho chuo kilicho mpa hiyo PH. D sidhani kama kinatambuliwa na bodi huru! Labda papa peke yake!

========================================================

EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993

TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985

St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981

St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969

Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960

========================================================
Orodha nzuri! Is it true kwamba huwezi kupata PhD bila kupitia Bachelor na Masters? Kaka hapa hujatafiti vizuri. Nakuomba urudie kufanya utafiti ili unapojaribu kumkosoa mwenzako uwe na taarifa za kutosha kusupport ukosoaji wako.
 
nakataa slaa hawezi kufananishwa na nyerere kwasababu kubwa zifwatazo enzi za mwalimu ilikuwa ni mfumo wa chama kimoja na ilikuwa ni lazima kwenda kwenye mikutana anapohutubia raisi ikumbukwe kuwa hata ilikuwa inabidi shule zifungwe na wanafunzi waende uwanjani kumsikiliza raisi , na siku ya sherehe za kitaifa ilikuwa ni lazima kufunga maduka na kwenda uwanjani kumsikiliza raisi ilikuwa ni lazima na sio kama sasa watu wanakwenda ka hiyari yao bila kushurutishwa wala kuogopa kwamba nisipoenda balozi wa nyumba kumi atakuja kuniuliza kwanini niliendelea na bihashara. hivyo ikumbukwe luwa wakati ule watu hawakuwa na uchaguzi wa kujiamulia mambo yao kama ilivyo sasa na bado wanajitokeza kwa wingi huo kumsikiliza.

mkuu kitalolo heshima mbele,nakubaliana na wewe kabisa dr slaa ni wa pekee hafananishwi na nyerere!ni kweli nyerere alikuwa na mvuto wake ila palikuwa na ulazima wa kwenda kumsikiliza!but slaa watu wanaenda bila kulazimishwa!
 
Unataka kutufundisha nini hapa?

Dr kama mwanadamu sio mkamilifu.
Hivyo basi sio vizuri kuendelea kumnyooshea kidole mwanadamu mwenzio.
Wakati wewe unayemnyooshea kidole mwenzio si mkamilifu kama yeye.
Hivyo basi mwenye haki ya kuhukumu ni Muumba wake ndiye anaye jua yaliyo sirini.
Asante kwa swali zuri.
 
Haifanani na SLAA kabisa!
Hii imefuata mfululizo mzuri wa kitaaluma!
B.A-->M.A---->PH.D

Sasa ya dr wa ukweli
certificate-------------------------------------------------------> PH.D!
CHUKI YAKO NA MASLAHI BINAFSI VIMEZIDI UWEZO WAKO WA KUFIKIRIA ,BE REASONABLE AND OBJECTIVE.

kaka acha ushamba kupata PhD sio mpaka upate masters inategemeana na kichwa chako. Kuna watu wanafanya masters mwisio wa siku waki submit thesis wanatunukiwa PhD Kutokana na content iliyopo kwenye thesis. Kuna mtu kama chinua achebe na ngugi wa thion'gi hawajawahi kusoma masters lakini walipewa PhD na sasa ni maprofessors wanaoheshimika duniani.
 
We ndo kilaza,hujui kama watu wanapata PHD even bofere Masters kutokana na what they do in their first Degree, Nenda UDSM, Ulizia Dr M.M Kissaka utaambiwa Mambo yake

Wewe acha ujinga nani kakuambia Kissaka hana degree yeyote kama Slaa!
Slaa ana cerificate tuu!!!! Hawezi ku-qualify kufanya PH.D serious!
 
kaka acha ushamba kupata PhD sio mpaka upate masters inategemeana na kichwa chako. Kuna watu wanafanya masters mwisio wa siku waki submit thesis wanatunukiwa PhD Kutokana na content iliyopo kwenye thesis. Kuna mtu kama chinua achebe na ngugi wa thion'gi hawajawahi kusoma masters lakini walipewa PhD na sasa ni maprofessors wanaoheshimika duniani.

Ni kweli inawezakana hilo na zipo, pia wapo waTZ kadhaa ambao walifanya vizuri Masters zao na kukidhi viwango vya kupendekezwa iwe PhD baada ya kuongezewa parameters kadhaa. Kama utaangalia vizuri utaona PhD yake ni ya muda mrefu, seems alikuwa anafanya Masters then wakaiadvance kutokana na quality ya output yake. Na hata PhD yake ilikuwa bora sana -the highest prise (summa cum laude), ni chache za namna hii zinazotolewa na Pontifical Urban University. Lakini what matters is output, wapo pia wenye level ndogo na wanadeliver kinomaaaa.....
 
Back
Top Bottom