kilemi
JF-Expert Member
- Mar 13, 2009
- 547
- 107
Kwa nini usiombe paper alizoandika, ili ujue PhD inapatikana vipi? Au umwulize rafiki yako mwenye hiyo PhDWewe kuwa mwangalifu hapo kwenye red! Hiyo PH. D unayoshadidia mbona magumashi tuu? Au unajifanya kipofu!
PH. D inafanywa baada ya vi-certificates tuu?, hamna Bachelor wala Masters uliona wapi? Hicho chuo kilicho mpa hiyo PH. D sidhani kama kinatambuliwa na bodi huru! Labda papa peke yake!