Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

Leo ni tarh 2/6/2012, na kwa serkali ni mwaka mpya 2013.
Naomba upige kura yako kwa kutaja jina la mwanasiasa kijana ambaye ni bora ktk kipindi hiki cha miez 6 (nusu mwaka) mpaka sasa.

Karibu kwa kura maana kura yako itamotivate viongozi kutekeleza majukumu yao na itatoa tathmini ya jinsi wanavyokubalika ktk jamii mpaka sasa.

Mwaka wa Serikali unaanza July, therefore there's one Month to go!
 
Ni vema mleta mada ungeainisha vigezo vichache ili nasi wapiga kura tuzingatie katika kumchagua mwanasiasa bora kijana. Lakini tuweke wazi ukomo wa umri wa kijana.
 
John John Mnyika is cool-headed, incisive and resourceful. Uzi ni huo, huo mpaka kieleweke!!!!!!!!!!!!
 
Leo ni tarh 2/6/2012, na kwa serkali ni mwaka mpya 2013.
Naomba upige kura yako kwa kutaja jina la mwanasiasa kijana ambaye ni bora ktk kipindi hiki cha miez 6 (nusu mwaka) mpaka sasa.

Karibu kwa kura maana kura yako itamotivate viongozi kutekeleza majukumu yao na itatoa tathmini ya jinsi wanavyokubalika ktk jamii mpaka sasa.

Hapo kwenye RED 'wewe ni kilaza'
 
pamoja na kuwa umeiweka kijumala sana ila jibu ni rahisi kiujumla hivyohivyo.
kwa jinsi ninavyojua wanasiasa na kuwaona baadhi yao hiyo nafasi instahili mmoja tu nae ni GODBLES LEMA.
kwa nini lema?
ameendelea kuwa na makali yaleyale hata alipodhulumiwa haki yake ya kuwaongoza wana arusha.
ameweza kuonyesha kuwa uongozi ni mzigo na si mafanikio binafsi.
ni mbunge pekee anayeweza kuchaguliwa bila hata kampeni katika jimbo lake.
ni mtu ambaye ukianza kumsikiliza akiongea hata kama humpendi hutamani amalize kuongea.

hao wengine mnaowataja ni wazuri ila ukiwaondolea ubunge tu wengine watakufa kwa presha na wengine kujificha.
 
Jazba zimemtawala huwa hatumii maarifa na busara katika maamuzi yake,huyu si kiongozi bora, mropokakaji na hana nidhamu!

hakuna kiongozi mzuri aliyewahi kutokea akawa na nidhamu kwa wadhalimu na wezi wa mali ya uma.
nidhamu katika uongozi ni kwa wananchi na si vinginevyo.
 
Nadhani hii hoja yako ungeileta mwezi december 2012. Kwakuwa Bunge la bajeti litakuja mwezi huu, nadhani wapo wabunge watakaoibuka na hoja nzuri kwa maslahi ya wananchi pia wapo watakaokosa mvuto. Pia wapo watakaopigiwa kura za kutokuwa na imani. Hivyo sioni ulazima wa kutumia mwaka wa serekali kwa kuwa hao wabunge hawafanyi kazi za serekali.
 
rejea kichwa cha habar nimesema kwa miezi sita mpaka sasa hayo mengine subiria mjengwa.blog.
 
Mwaka wa Serikali unaanza July, therefore there's one Month to go!

ulimi hauna meno! Ahsante kwa kunisahihisha kwani makosa hajaumbiwa wasira na shibuda 2 bali hata ss huwa tunakosea.SO PIGA KURA YAKO.
 
1. Mnyika
2. Lema
3. Lissu
4. Zitto
5. Deo
6. Mdee
7. Sugu
 
Back
Top Bottom