Mwanasheria atekwa, apigwa, aachwa porini

Status
Not open for further replies.
Nahisi kuna agenda ya siri vile! Anataka tuamini kwamba Mwanasheria amepigwa na watu wenye hasira ya kupoteza nyumba zao hivyo na Dr. Ulimboka alitekwa na watu wenye hasira ya kupoteza ndugu zao. Nahisi haya ndo mazingira yanayojengwa!!!

Sio kila kitu kinakwenda hivyo mkuu, naona ushaathirika na matukio
 
Huu mtindo unawafanya raia wakose amani kabisa na usalama wao.
Kwani hatujui kesho ninani atatekwa mh!
Tanzania imeharibika kabisa.
 
Wapi J. K atoe tamko kabla ya Kova na Msangi kutoa ripoti. 'sisi hatuusiki'. Uwaneni wenyewe mzikane wenyewe.
 
Hatimae imedhihirika sasa Tanzania imegeuka kua nchi ya kimafia.Mwanasheria wa NEMC atekwa,apigwa na kuachwa porini....kama ilivyokua kwa Dr. Ulimboka.

Waziri pia atishiwa kuuwawa...



Source..Habarileo
 
Funika kombe mwanaharamu apite, ni potezapoteza lile la Dr Ulimboka lionekane la kawaida
 
Nachelea kusema hii ni mbinu hafifu za UWT. Tutaona watakavyo-publisize ili ipotezee ya Dr.Ulimboka. Wanaweza kutueleza mazingira yake? Kwani na yeye aliitwa na mtumishi wa Ikulu na kusha mara baada ya Dr.Ulimboka kutekwa simu yake haikupatikana na wala yeye hadi leo. Hizi mbinu zimevakia kwenye story books sikuhizi.
 
hakuna kiongozi wa ccm mwenye mjengo mitaa hiyo? Mana hawa jamaa ni balaa kwa matukio hayo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom