Mwanasayansi nguli Stephen Hawking adai baada ya miaka 1,000 Dunia itateketea

marcs

JF-Expert Member
Nov 2, 2016
1,067
570
22f125cd7ad083ef0e4c011f44874a00.jpg
2 hours ago


Dunia tunayoishi haitokuwa kama ilivyo sasa baada ya miaka 1,000.

Mwanasayansi nguli Stephen Hawking, amesema binadamu hawatoweza tena kuishi katika ardhi ya dunia kwa miaka 1,000 nyingine, na chanzo kitakuwa yale yale, mabadiliko ya tabia nchi, mabomu na roboti.

07f9e2132acb13b4f7c024ba44b7fb87.jpg
Stephen hawking

Akiongea kwenye chuo kikuu cha Oxford wiki kadhaa zilizopita, Hawking alisema njia pekee itakayotupa maisha zaidi, ni kuhama kwenye dunia hii na kwenda kutengeneza makoloni kwenye sayari zingine.

“Although the chance of a disaster to planet Earth in a given year may be quite low, it adds up over time, and becomes a near certainty in the next 1,000 or 10,000 years,” alisema.

“By that time we should have spread out into space, and to other stars, so a disaster on Earth would not mean the end of the human race.”

Pamoja na hivyo, Hawking alikuwa na maneno ya faraja: Remember to look up at the stars and not down at your feet. Try to make sense of what you see, wonder about what makes the universe exist,” he said. “Be curious. However difficult life may seem, there is always something you can do and succeed at. It matters that you don’t just give up.”
 
Dunia tunayoishi haitokuwa kama ilivyo sasa
baada ya miaka 1,000.

Mwanasayansi nguli Stephen Hawking, amesema binadamu hawatoweza tena kuishi katika ardhi ya dunia kwa miaka 1,000 nyingine, na chanzo kitakuwa yale yale, mabadiliko ya tabia nchi, mabomu na roboti.

Stephen Hawking Akiongea kwenye chuo kikuu cha Oxford wiki kadhaa zilizopita, Hawking alisema njia pekee itakayotupa maisha zaidi, ni kuhama kwenye dunia hii na kwenda kutengeneza makoloni kwenye sayari zingine.

“Although the chance of a disaster to planet Earth in a given year may be quite low, it adds up over time, and becomes a near certainty in the next 1,000 or 10,000 years,” alisema.

“By that time we should have spread out into space, and to other stars, so a disaster on Earth would not mean the end of the human race.” Pamoja na hivyo, Hawking alikuwa na maneno ya faraja:

Remember to look up at the stars and not down at your feet. Try to make sense of what you see, wonder about what makes the universe exist,” he said.

“Be curious. However difficult life may seem, there is always something you can do and succeed at. It matters that you don’t just give up.”
 
napenda kuja kuona binadamu tukianzisha makazi sayari nyengine!
tatizo lipo kwenye ku-change

mazingira ya hizo sayari doh!! More thinking and effort need there
 
Phd nyingi zaidi zitahitajika kupatikana kubashiri kwa uhakika zaidi mambo ya mbele kiasi hicho!
 
Utabiri juu ya utabiri.

Hiyo Miaka Eflu atakuwepo yeye Hai..?
Angetabiri hata miaka 20/30 ijayo ilituushuhudie huo mwisho.
Miaka 1,000 ni mbali Mno.
 
Hakuna jipya katika taarifa hii.Jipya ni kwamba Bwana Stephen ameleta hii kama taarifa mpya huku ikiwa jambo lililo wazi kabisa kwenye Biblia.The Bible could not be more clear on this issue.

Katika kitabu cha 2 Petro 3:10-11 tunasoma maneno haya,"Lakini siku ya Bwana itakuja kama mwivi;katika siku hiyo mbingu zitatoweka kwa mshindo mkuu,na viumbe vya asili vitaunguzwa,na kufumuliwa,na nchi na kazi zilizomo ndani yake zitateketea.11 Basi, kwa kuwa vitu hivi vyote vitafumuliwa hivyo,imewapasa ninyi kuwa watu wa tabia gani katika mwenendo mtakatifu na utauwa."Kwa mistari hiyo ni wazi kwamba Mungu mwenyewe ataiharibu dunia hii.Kama hivyo ndivyo,kwa kweli hatuna cha kujivunia,tunapaswa kuishi maisha matakatifu na utauwa ili
tueopuke uharibifu huo.


Kwa bahati mbaya Biblia haisemi kwamba kuna nafasi ya kuirithi dunia mpya au kwenda kwenye sayari nyingine kwa watu ambao hawana mwenendo mtakatifu na utauwa.Katika kitabu cha Ufunuo 21:1-2 tunaona kwamba baada ya mbingu iliyopo na dunia hii kuharibiwa, watakatifu wataandaliwa mbingu mpya na nchi mpya!Sina hakika kama itakuwa kwenye sayari nyingine au dunia hii hii baada ya kufumuliwa.What I am sure though is that only the righteous will inherit the new Earth.Mimi na wewe tujiandae kwa hiyo dunia mpya.
Dunia tunayoishi haitokuwa kama ilivyo sasa
baada ya miaka 1,000.

Mwanasayansi nguli na mnajimu, Stephen Hawking,
amesema binadamu hawatoweza tena kuishi
katika ardhi ya dunia kwa miaka 1,000 nyingine,
na chanzo kitakuwa yale yale,
mabadiliko ya tabia
nchi, mabomu na roboti.

Stephen Hawking Akiongea kwenye chuo kikuu cha Oxford wiki
kadhaa zilizopita, Hawking alisema njia pekee
itakayotupa maisha zaidi, ni kuhama kwenye dunia
hii na kwenda kutengeneza makoloni kwenye
sayari zingine.
“Although the chance of a disaster to planet Earth
in a given year may be quite low, it adds up over
time, and becomes a near certainty in the next
1,000 or 10,000 years,” alisema.
“By that time we should have spread out into
space, and to other stars, so a disaster on Earth
would not mean the end of the human race.” Pamoja na hivyo, Hawking alikuwa na maneno ya
faraja: Remember to look up at the stars and not
down at your feet. Try to make sense of what you
see, wonder about what makes the universe exist,”
he said.
“Be curious. However difficult life may
seem, there is always something you can do and succeed at. It matters that you don’t just give up.”
 
Bado hajafa, ana miaka kama 74 sasa hivi. Kazaliwa mwaka 1942.

Jiridhishe hata wikipedia kabla hujaandika usichokuwa na uhakika nacho.
Kibinadamu amekufa anaishi kwa medical technology kutokana na ugonjwa alionao wa ALS
 
Huyo Jamaa kapalarize mwili mzima anatumia machine kutembea,kula,nk kizima ni kichwa tu lkn ni milionea wa kutupwa na msomi mzuri tu wa sayansi hakukata Tamaa unakuta MTU ni mzima wa afya haishi kupiga mizinga.
 
Amezungumza ukweli hata pasipo kiama kisipokuja mwanadamu atajiangamiza mwenyewe kutokana na jinsi anavozidi kuiharibu dunia.
 
Kinachosikitisha amewapa ujumbe wasiohusika. Binadamu anaowaambia sasa, akiwemo yeye, hatutakuwepo miaka 1,000 ijayo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom