Mwanangu na Kikwete

I tell you iko siku mtu atakuwa anaenda kufanya tendo la ndoa na mkewe atakuja hapa atuulize pia " Jamani leo naenda kufanya tendo la ndoa na mke wangu mnanishauri vipi"? There are somethings which you have to learn to deal with them by yourself.

Hahahaha na anaweza toka fanya tendo la ndoa akaja kuuliza mbona leo radha ilikuwa tofauti na siku zote naombeni ushauri!
 
nimejaribu kukuelekeza maana unaelekewa una upeo wa mashaka, mtu aliye na upeo hawezi kumchukulia Rais kama kitu cha mchezo hivyo. Elewa kuwa Rais ana tight schedule na pia ana majukumu mengi ya kitaifa na pia kuna watu wengi sana wanaotaka kumwona kwa matatizo serious na bado wanaikosa hiyo nafasi so kama ungekuwa umefikiria critically nadhani ungekuwa umeshapata jibu na sio kuuliza hapa

Binafsi nina mashaka sana na fikra zako na huyo mzazi mwenzako nae ajakushauri chochote juu ya uwezekano wa ili. Rais ni mtu mkubwa sana na kupata nafasi ya kumwona sio rahisi kama unavyofikiria unavyomwona kwenye kampeni anavyowapa watu tano ni strategies za kuomba kura ila hayuko simple kiasi hicho

Sorry kama nimekuudhi ila fikiria kwa mapana na elewa kuwa hii nayo ni sehemu ya mada wala sijatoka nje. Na hilo swali ulilouliza naamini popote duniani utakapouliza watu watahisi una walakini im telling u

Haya ni mawazo yako na hayawakilisi dunia nzima. Hauko sawa unaposema nina uelewa wa mashaka, na si lazima kila mtu aelewe kama unavyoelewa wewe, tunatofautiana.

Asante kwa kunipa mhadhara.
 
On second thoughts inawezekana dogo anaanza kujitayarisha mapema, anaanza ku network kabisa kama hapa chini Clinton alivyokuwa ana network na Kennedy.

clinton-kennedy.jpg

Kiranga, asante sana kwa kutuelewa. Asante.
 
I tell you iko siku mtu atakuwa anaenda kufanya tendo la ndoa na mkewe atakuja hapa atuulize pia " Jamani leo naenda kufanya tendo la ndoa na mke wangu mnanishauri vipi"? There are somethings which you have to learn to deal with them by yourself.
naona JF imeingiliwa na watu gani sijui halafu hawashauriki hivi sekondari zimefungwa au?
 
Thanks cousin, unajua huwa sielewi role ya mzazi inaanzia wapi na kuishia wapi sometimes... kama kweli una access ya jk unaweza ukapromise mtoto, otherwise ni kuanza kumwambia ukweli kwamba jk ni nani, what it takes to see him and what is their position of the parents na uwezo wao

haya mambo ya ntakununulia roketi na ntakupeleka mbinguni huwa yanaleta taifa la uongo na false expectatiosn from day 1

Hakuna niliposema nimempromise mtoto kumwona JK, na hakuna mahali nimesema lazima amuone JK. You got me wrong.
 
Haya ni mawazo yako na hayawakilisi dunia nzima. Hauko sawa unaposema nina uelewa wa mashaka, na si lazima kila mtu aelewe kama unavyoelewa wewe, tunatofautiana.

Asante kwa kunipa mhadhara.
wewe mwenyewe hujijui ila sisi ndio tunaona kuwa una walakini si bure
 
nimejaribu kukuelekeza maana unaelekewa una upeo wa mashaka, mtu aliye na upeo hawezi kumchukulia Rais kama kitu cha mchezo hivyo. Elewa kuwa Rais ana tight schedule na pia ana majukumu mengi ya kitaifa na pia kuna watu wengi sana wanaotaka kumwona kwa matatizo serious na bado wanaikosa hiyo nafasi so kama ungekuwa umefikiria critically nadhani ungekuwa umeshapata jibu na sio kuuliza hapa

Binafsi nina mashaka sana na fikra zako na huyo mzazi mwenzako nae ajakushauri chochote juu ya uwezekano wa ili. Rais ni mtu mkubwa sana na kupata nafasi ya kumwona sio rahisi kama unavyofikiria unavyomwona kwenye kampeni anavyowapa watu tano ni strategies za kuomba kura ila hayuko simple kiasi hicho

Sorry kama nimekuudhi ila fikiria kwa mapana na elewa kuwa hii nayo ni sehemu ya mada wala sijatoka nje. Na hilo swali ulilouliza naamini popote duniani utakapouliza watu watahisi una walakini im telling u
 
Majuma matatu kutoka sasa mtoto wangu anayesoma elimu ya chechechea ataadhimisha siku ya kuzaliwa kwake. Kasema mwaka huu hataki zawadi wala keki, anataka aende kumtembelea Raith Kikwete.

Naombeni ushauri wa jinsi ya kumkutanisha mwanangu huyu na Mheshimiwa Kikwete.

Natanguliza shukrani kwa yeyote aliye tayari kunisaidia.

................?????????? :confused2::confused2::confused2::confused2::confused2: Mwishowe ataishia kuanguka.....!
 
Majuma matatu kutoka sasa mtoto wangu anayesoma elimu ya chechechea ataadhimisha siku ya kuzaliwa kwake. Kasema mwaka huu hataki zawadi wala keki, anataka aende kumtembelea Raith Kikwete.

Naombeni ushauri wa jinsi ya kumkutanisha mwanangu huyu na Mheshimiwa Kikwete.

Natanguliza shukrani kwa yeyote aliye tayari kunisaidia.

Mimi ni mzazi kama wewe, nakubaliana kuwa mara nyingi watoto wako "too ambitious or inquisitive". La muhimu ni wewe mzazi kuamua lipi linamfaa mtoto na lipi halimfai sio kila kitu mtoto anachotaka na wewe kikutie pressure. Unapaswa kuwa mwepesi wa kutafuta alternative na uweze kumridhisha mtoto wako. Iko siku atakuambia nataka kupanda ndege na wewe uwezo huna ukaingia kukopa. Natumaini umenipata.
 
It is not a must get to see Kikwete. Hata mtoto mwenyewe hajui kama nafanya haya kwa ajili yake. Alichagua zawadi hiyo na kila mmoja wetu alibaki kashangaa, tukijiuliza kwa nini alichagua, pamoja na maswali mengine mengi tuliyomuuliza akayajibu majibu yaliyo sawa na yaliyopangwa. Tukaona tujaribu kutafuta njia. Hatujui mtoto huyu ana nini cha ziada tofauti na watoto wa umri wake.
.
Kama mzazi nadhani utanielewa ninachojaribu kufanya. We dont want to take her for granted. There is something different.
 
akae barabarani kikwete anapopita,kikwete atampa zawadi ya pipi.................au ataenda kubembea naye jamaica si unajua bembea ni kwa ajili ya watoto lkn babu kikwete anabembea na salma
..Ndio dalili za uzezeta nini hizo zee zima na my wife wake kwenda kubembea???!!! mhhh:A S 13::A S 13:
 
Majuma matatu kutoka sasa mtoto wangu anayesoma elimu ya chechechea ataadhimisha siku ya kuzaliwa kwake. Kasema mwaka huu hataki zawadi wala keki, anataka aende kumtembelea Raith Kikwete.

Naombeni ushauri wa jinsi ya kumkutanisha mwanangu huyu na Mheshimiwa Kikwete.

Natanguliza shukrani kwa yeyote aliye tayari kunisaidia.
Mbona ubini wako unasomeka kama Malaria Sugu? (MS).
Kuhusu mwanao nakushauri usubirie magari ya kampeni yanayowachukua wadau uombe lift ukamwone kikwete raith mstaaf mtarajiwa
 
mbona ubini wako unasomeka kama malaria sugu? (ms).
Kuhusu mwanao nakushauri usubirie magari ya kampeni yanayowachukua wadau uombe lift ukamwone kikwete raith mstaaf mtarajiwa

umefikiri kwa makini
 
Majuma matatu kutoka sasa mtoto wangu anayesoma elimu ya chechechea ataadhimisha siku ya kuzaliwa kwake. Kasema mwaka huu hataki zawadi wala keki, anataka aende kumtembelea Raith Kikwete.

Naombeni ushauri wa jinsi ya kumkutanisha mwanangu huyu na Mheshimiwa Kikwete.

Natanguliza shukrani kwa yeyote aliye tayari kunisaidia.
mpeleke kwenye kampeni tu atamuona bila shaka
 
Back
Top Bottom