Mwanangu kipenziiiii

Tutajie hizo nchi! Vinginevyo wewe utakuwa MUONGO!

Mkuu huwa sina haja ya kudanganya wala sema uongo. It doesn't pay than kukushushia heshma na credibility. Huku ni USA. Sasa hivi huku hata kumlazimisha mtoto wako deen yako ni child abuse, sembuse cdm, tena nguo ya winter wakati wa summer, utatupwa lupango. God bless America. Kilicho bakia ni kukana uraia wa huku na kuamia kule. Sasa sijui kule ni wapi, maana si huko.
 
ni ujinga mtupu....

mtoto anatakiwa akue bila influence ambazo zitamfanya
asiwe huru kuamua mambo yake mwenyewe

kuwahusisha watoto na siasa ni upumbavu mno

unataka awe fisadi mtoto ni picha ya mzazi hacha kujipotosha na uhuru hata wazungu unao copy na kupaste ahawanyi hivyo wana influence watoto wao.
harafu upumbazvu ni nini hapo? unataka ccm wamu influence kuwa na huruma na nchi yako per peti
 
Mmhh no comment! Ila mshike mkono mama,usipoangalia utasikia kashagongwa na BMW afu hujakaa vizuri trafki wameshafika wanasema "toto rako hiri ndo rimegonga gari,uko chini ya urinzi mama"be careful
 
2whnqf8.jpg





Mwana umleavyo ndivyo akuavyo wakati wa ukombozi ni sasa :mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:

Mwanangu wa kufikia...:majani7:
 
Khaaa wana ccm bwana, em yaone yalivyo roho mbaya kama sura ya wasira. Chadema oyeeeee dogo nataman nikulipie hada cjui nikupataje.?

Nawashangaa sana magamba, huko ulaya au US watu wanawavalisha watoto wao jezi za timu zao za basket au football hawasemi.Kuona dogo anaota kupambana na magamba in future wanaona nongwa.
 
Nawashangaa sana magamba, huko ulaya au US watu wanawavalisha watoto wao jezi za timu zao za basket au football hawasemi.Kuona dogo anaota kupambana na magamba in future wanaona nongwa.

Hah haha haha utawaweza wabongo wanajifanya wanajuuuaaa :biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Acha kumdumaza mtoto akili, bado mdogo mpeleke shule mambo ya siasa atayakuta tu, wewe mbona baba yako alikuwa CCM leo wewe mtoto Chadema? angekudumaza akili si ungekua kama Tambe Hizza
 
Back
Top Bottom