Mwanandani wangu kaolewa

Nilikua na mpenzi wangu ambae nilimpenda sana na bado element za love zipo kwake, nilianza nae 2007 nikiwa f5 tuliishi vizuri na mimi nilikua wa kwanza kwake,penzi lilikuja kuingia doa 2011 pale wazazi wake walipo taka kumuozesha kwakua ni binti wa kiislamu na ana asili ya kiarabu, kiukweli swala la kubadili dini yalikua ni maamuzi magumu na mapema ingawa huko mbele ningefanya ivyo, kwa ufupi hadi sasa kaolewa lakini bado nampenda sana na amebadili namba,NIFANYEJE?
.
Chapa kazi utapata mkali zaidi.
 
Wangu mie anatarajia kuolewa!! na pia sijui la kufanya!! wallah sijui nifanyeje?! sina uwezo wa kumuoa coz nimemaliza chuo juzi tu na kazi sina basi roho yaumaaa!!

utamwitaje wako wakati anatarajiwa kuolewa hivi karibuni? mi nadhani kama ni wako kweli basi asingeolewa na mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom