Mwananchi na Clouds

Chadema kweli nie walalamishi. Mnafikiri kila mnachofanya jamii ipo pamoja nanyi?

Watu wanaangalia mbali sio mazuzu ya kukokotwa kwa ukanda na udini.

Huyu jamaa vipi tena, is everything has to be tagged to chadema na Udini???? MWananchi at least linajitaihidi kua objective, na huyu jamaa anaonyesha grievance kwanini hawalisomwi na wanaishia kusoma magazeti mangine anambayo tunajua yako biased...wapi ameongelea chadema, au udini hapo. Upupu wa chadema unakuwasha..we fisadi nini??? endelea kujikuna mzee.
 
Sijawahi kuona Radio hovyo kama hii
ghafla tu nilipoteza hamu ya kuisikiliza kutokana na pumba kuwa nyingi mno
wana tabia ya kuweka maoni yao km wao na wala si kupasha habari kitu ambacho si sahihi katika kutoa habari
uwa nasikiliza kipindi cha michezo tu,vingine vyote hovyooo

Nakushauri redio zipo nyingi tu mkuu,si lazima huwasikilize hawa wanafiki.ni heri huo muda ukatumie kunywa juice ya matunda fresh uongeze afya!!!
 
Chadema kweli nie walalamishi. Mnafikiri kila mnachofanya jamii ipo pamoja nanyi?

Watu wanaangalia mbali sio mazuzu ya kukokotwa kwa ukanda na udini.

Mkuu hapo CHADEMA wameingiaje?! Mdau kauliza mbona radio klaudz haisomi gazeti la Mwananchi? Sasa wewe unafyatuka na CHADEMA!

Kweli CHADEMA inakosesha usingizi wana chichiemu! Pole ndugu,angalia husije dondoka na presha!
 
Sijawahi kuona Radio hovyo kama hii
ghafla tu nilipoteza hamu ya kuisikiliza kutokana na pumba kuwa nyingi mno
wana tabia ya kuweka maoni yao km wao na wala si kupasha habari kitu ambacho si sahihi katika kutoa habari
uwa nasikiliza kipindi cha michezo tu,vingine vyote hovyooo

Nakushauri redio zipo nyingi tu mkuu,si lazima huwasikilize hawa wanafiki.ni heri huo muda ukatumie kunywa juice ya matunda fresh uongeze afya!!!
sure! umenena mkuu!!!
 
Chadema kweli nie walalamishi. Mnafikiri kila mnachofanya jamii ipo pamoja nanyi?

Watu wanaangalia mbali sio mazuzu ya kukokotwa kwa ukanda na udini.

HM HAFIF wewe ndo ZUZU tena ZUZUEST! Hapo CDM wameingiaje??? au we umetumwa??? au wewe ni RIZ1 nini??
 
Ni muda mrefu sasa sijasikia Clouds wakiperuuuuuuuuuzzzzzzzzzz na kudadisi gazeti la Mwananchi au ni masikio yangu mabovu???

Kuna magazeti gani siku hizi?
Long time toka kubondde anichefue sijasikiza "redio ya waafuuuu" accoding to sugu,..
 
Back
Top Bottom