Mwanamuziki Youssou Ndour atangaza kuwania Urais Senegal

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
Youssou Ndour, Senegal Music Star, Announces Run For Presidency

The election is less than two months away, and the incumbent president has been in power for more than a decade.
"For a very long time, many Senegalese of different backgrounds have called for my candidacy for the presidency next February," Ndour said. "I've listened, I've heard and I am responding favorably to their request. I am a candidate. It's a supreme patriotic duty, the best I can give of myself. I am the alternative to the current leadership in place in the country."
Ndour, 52, is well known in Senegal for his scathing critique of the country's ruling party. He already owns a hugely popular private radio station that holds regular debates featuring government critics.
And he has a newspaper that routinely highlights corruption allegations involving the country's ruling elite, including the president's family.
Residents of Senegal's capital expressed doubt that the musician would fare well at the polls – or in office.
"It's good enough that he makes good music," said Abdou Ngom, 26. "Politics is made of treason and low blows. I'm sure that real politicians will not help him."

Wapi Ally Choki Mzee wa Farasi????
 
Mwanamuziki mashuhuri nchini Senegal na mwanaharakati wa kisiasa,Youssou N'dour, ametangaza kuwa atawania kiti cha urais katika uchaguzi wa mwezi Februari nchini humo.
Mwanamuziki huyo amesema kuwa anaitikia wito wa kumtaka agombee kiti hicho dhidi ya rais wa sasa Abdoulaye Wade, ambaye anapania kuwania kiti hicho kwa muhula wa tatu.
Youssou N'dour amehusika na maswala ya kibinadamu kwa siku nyingi na pia ni balozi wa shirika la umoja wa matataifa kuhusu maswala ya watoto (UNICEF).
Mwandishi wa BBC mjini Dakar, Thomas Fessy, anasema hatua ya bwana Youssou N'dour kutangaza kuwa atawania kiti cha urais, haijawashangaza wengi. Hii ni kufuatia tangazo alilotoa mwisho wa mwaka uliopita kuwa atajitosa katika ulingo wa kisiasa.
Katika hotuba iliyopeperushwa kupitia kituo chake cha redio na televisheni, mwanamuziki huyo amesema atapunguza matuzi ya serikali na kuahidi kuzalisha chakula na umeme kwa wote iwapo atachaguliwa kuwa rais wa Senegal.
[h=2]''kuwa rais ni kazi sio taaluma''
Youssou N'dour anakubali kuwa yeye sio msomi lakini anaelezea wadhifa wa rais kama ''kazi na sio taaluma''. Youssou N'dour alikuwa rafiki wa karibu wa rais Abdoulaye Wade, lakini baada ya Wade kutangaza nia ya kuwania kiti cha urais kwa muhula wa tatu, aligeuka na kuwa mpinzani wake mkuu. Lakini haitakuwa kazi rahisi kwa Bw. Youssou Ndour kuwabadili maelfu ya wafuasi wake wa muziki kumpigia kura. Aidha, Youssou N'dour amewahi kuwashutumu viongozi wa nchi za Afrika kuhusu jinsi kuhusu walivyoshughulikia janga la njaa nchini Somalia.[/h]
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
I have been to one of his shows, ....he can sing, I can give him that
 
Back
Top Bottom