Mwanamuziki Nash MC ana VVU

Ok nikija dsm ntakaribia hapo kilingeni hahaa yes hiphop inauza nshakuja hapo nikakutana na songa pamoja na nikki mbishi tatizo wacongo wengi sana hapo kilingeni.

mkuu jumamosi wakongo mchana hawapo ila huyu anayeitwa nikki mbishi huyu jamaa ni hatari yaani kashindikana kuanzia mistari huru mpaka punchlines kazidiwa na fid q peke yake wengine wote hawamuwezi kwa lolote
 
True! Namkubali sana nikki mbishi
 
mkuu jumamosi wakongo mchana hawapo ila huyu anayeitwa nikki mbishi huyu jamaa ni hatari yaani kashindikana kuanzia mistari huru mpaka punchlines kazidiwa na fid q peke yake wengine wote hawamuwezi kwa lolote

Ok ntakaribia siku nliokuja nlimkuta pacho mwamba na kina nyoshi el sadaat wanatomboka kwa sauti sana! Zohan yupo safi.
 
mxeeeeeew!
Huu uandishi utakuwa na undugu na yule msukuma wa Bamaga! (shigongo)
 
Nash Mc unachoimba kitu gani...?
Na vipi kuhusu tuzo.??
Tamaduni music mnafanya Kazi gani .??

Dizaini kama we' ni heita..??
Kuna wasanii wanadai hawakujui.??
Mbona huonekani kwenye matamasha ya simu..??

Nash Haufai!!!!
 
Maalim Nash a.k.a Uchebe... MC mwenye VVU.
Bado sijaipata hiyo track yake mpya 'maneno', ngoja niitafute.
-Kaveli-
Salaamu -Kaveli-

Nash dagama yupo vyema anaburudisha,anaelimisha.

Kama kawaida ya Nash kucheza na hadhira yake.
Wimbo unaitwa maneno,maneno katumia kama jina la mtoto wake hivyo ndani ya wimbo huo alikuwa anamupa ushauri Mtoto wake kuhusu muziki wa bongo na changamoto zake Baba Nash alizipitia na anazopitia.

Kiufupi kaeleza changamoto za wasanii vitu kama vile mshikamano,upendo,unyonyaji,chuki na majungu na kujituma kujikwamua,

Kisha akamalizia kwa kumukanya mtoto wake maneno asijihusishe na muziki bali aikumbatie Elimu.
 
Back
Top Bottom