Mwanamume bila mwanamke hawezi ishi 1 x 1 = 2

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
13,370
11,090
Ni kituko 1947 Meli moja ilizama na jamaa kutahamaki yupo lisiwani peke yake na upanga tu. alichoamua ni kukata miti ili atengeneze chetezo/ngalawa aendelee na safari ili arudi bara. Hamadi alipotokeza mwanamke haijulikani kune nae alikuwa na boya alilojiokoa nalo.
Jamaa mawazo yakabadilika bora atengeneze, kitanda waishi pamoja kisiwani mawazo ya kurudi kwao yameisha kabisa
 

Attachments

  • Binadamu 1x1=2.docx
    775.2 KB · Views: 89
Back
Top Bottom