Mwanampotevu nimerudi sijui mtanikaribisha?

Unerudi jf ama umeamua kurudi jina lako karibu
usiowaona muulize paw akusaidie usijaze thread kuwaulizia
 
Duuuu jamani nimerudi tena maswali yenu nimeyaona ukweli ni kwamba nimerudi , zipu nimefunga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom