Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanampotevu nimerudi sijui mtanikaribisha?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Zipuwawa, Jul 22, 2011.

 1. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 2,956
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wana jamii ni siku nyingi sasa nilipotea humu ndani hadi naona aibu leo hii nimekuja naona hata aibu sijui nianzie wapi kwani hata wale niliokuwa nawafahamu watakuwa wamenisahau......ila kwakuwa mimi ni mbishi nakuja mara nyingine tena nakusema nimerudi mwana mpotezu atakachukia mimi kurudi basi .....ila nipo mjengoni nitajikita sehemu zote ........kama kawaida...nimeweka huku ili watu waweke utani wao humu mnaonikumbuka plz nisalimieni ......................................
   
 2. M

  Mbishi SR Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aaah Wapi!!!!!!!!!!!
   
 3. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 2,956
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mbishi hutaki nini?
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 16,534
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  Powa mkuu wa kazi,kwema ulikokuwa?
   
 5. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,520
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  habari zenyu bhanaa..karibu sana kiongozi...usione aibu mwiko kwa wanaume...vipi ughaibuni kwema
   
 6. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,069
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Zipu gani ipo waa, ya mbele au huko background..?
   
 7. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 16,559
  Likes Received: 3,769
  Trophy Points: 280
  Haha...mimi nakumbuka hako ka avatar!!!
  karibu tena mjengoni..kuna kiumbe kinaitwa PAW, baadhi wanasema kiko fair, wengi wanakataa, mimi napinga!
   
 8. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #8
  Jul 22, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,789
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  mkuu unapinga nini sasa! wanaosema kiko fair au wanaokisulubu?
   
 9. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,746
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Zipu wazi umerudi ? kinadada wanaogopa labda uwe umefunga zipu.
   
 10. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,376
  Likes Received: 1,059
  Trophy Points: 280
  Mimi sikujui we ni nani?
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,841
  Likes Received: 522
  Trophy Points: 280
  Me mwenyewe ckujui,we ni nan,unatoka wap na kwa nin ulipotea?
   
 12. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 931
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ulienda Loliondo?
   
 13. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 1,893
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Karibu sana!! jitahidi kuielewa signature yangu! utatuepusha na usumbufu usiokuwa wa lazima jamvini.
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Jul 23, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 37,602
  Likes Received: 2,799
  Trophy Points: 280
  Habari za Loliondo...
   
 15. T

  Tall JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,433
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Samahani, wewe ni binti mdogo ndio maana unaona ona aibuuuuuuu???????
   
 16. T

  Tall JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,433
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Zipu wazi halafu anajifanya kuona aibu.
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,784
  Likes Received: 2,180
  Trophy Points: 280
  nakumbuka kuna kipindi ulisema una ukwasi.......uliisha.....? au nakufananisha?
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,718
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Zipuwawa nakukumbuka sana.
  Karibu tena.
   
 19. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,086
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nani kakuonyesha Njia?
   
 20. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,245
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Duh karibu zipuwazi....ooooooooooooops!! hivi ya arabuni vipi? yule mpenzi wako? usha'do' hivi karibuni ama tubinti twa kiarabu bado tunachemsha!!
   
Loading...