Mwanamme amkata mkewe vidole vyote! amhadaa "afumbe macho" ampe zawadi

Kijana mmoja aitwaye Islam nchini Bangladesh amemkata mkewe vidole, baada ya kumlaghai kuwa afumbe macho ili ampe zawadi ya kushtukiza (suprise). Dada huyo mwenye umri wa miaka 21 alifumba macho na kutoa mkono ili kupokea "zawadi" hiyo, ndipo Islam alipomkata vidole vya mkono wa kulia.
KISA, mkewe aliomba na kupata nafasi ya masomo ya elimu ya juu bila kupata ridhaa ya Islam! - (source) TBC Taifa

Najiuliza, hii ni kwa sababu ya dini, wivu, au tuseme ni ujinga tu? Unasemaje?[/QUOTE]
Kama huyo alofanya hivyo anaitwa Tariq Aziz (alokuwa msaidizi wa Sadam) au jina lolote, kuna uhusiano wowote wa jina na dini au tabia?
Mimi nasema ni zaidi ya ujinga - ni uhuni, uhayawani, ufirauni, ushetani, roho mbaya na kila sifa mbaya unayoijua. Muumini yoyote wa kweli wa dini yoyote ataona haya kujinasibisha na tendo hili la kikatili.
 
Hii thread value contents ni nini ? Sidhani kila upumbavu flani unaotokea kwengineko duniani uletwe hapa! Kivyovyote vile uislamu haufundishi brutuality lyk.
Hapa unachotaka kukianzia ni faith idiology conflicts na tayari wameshaanza shoutin' wenye dini zao, please usituokotee yasio na faida na community! Be resonable meaningless!
 
shit,tats a big suprise....ntakua nafunga jicho mmoja tu..huyo jamaa pimbi,anastahili maximum sentence ya kifo
 
Hii thread value contents ni nini ? Sidhani kila upumbavu flani unaotokea kwengineko duniani uletwe hapa! Kivyovyote vile uislamu haufundishi brutuality lyk.
Hapa unachotaka kukianzia ni faith idiology conflicts na tayari wameshaanza shoutin' wenye dini zao, please usituokotee yasio na faida na community! Be resonable meaningless!

Kweli si kila mfungwa pale Segerea ni mkosaji, wako wameenda kule kwa maamuzi potofu ya majaji, aidha kwa kuhongwa, kutokuwa makini, kutumia vibaya madaraka waliyonayo, au umahiri wa mawakili wa upande wa washitaki.
Niambie katika hii thread ni wapi uislam umetajwa? Au ndo unataka kutuingiza huko? Matukio ya namna hii ambayo umeyaita "upumbavu" yanaweza kutokea hata kwetu tz. Kwani unafikiri kuna tofauti gani na ukataji wa viungo vya ndugu zetu albino? I wonder if you don't see the value contents!
 
..hawa watu wa dini hii ndio zao hizo...kuua, kumwaga damu, kujilipua, kulipa visasi (mfano ni hapo kwenye red) nk

Meddie, haijatajwa dini yoyote hapo, hilo ISLAM ni jina la mtu, na hiyo haimaanishi huyo kijana ni muislam.
 
waje kumweka jela ya keko. Hizo ndio ndoa za lazima, hawajui kama jamaa amnazo. wanakuozesha tu!!! kamtia kilema mwenzake. kichaa huyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom