cc;Le....pongezi mama. Somo zuri kwa Diaspora wetu huko Marekani na Ulaya si kupiga picha instagram tu mje kuwekeza nchini na viingereza vyenu
cc;Le....pongezi mama. Somo zuri kwa Diaspora wetu huko Marekani na Ulaya si kupiga picha instagram tu mje kuwekeza nchini na viingereza vyenu
Hahahahaha Mama wa Kipare huyo, haya sasa wale waliokuwa wanasema wanawake wa kipare sijui nini huko, hebu waje wajionee hapa!! Asante Mama. Wapare ni bidhaa adimu bhana!Zenunaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Kudos.
Huyu mama ameolewa na mswidish kitu ninachomsifu ameweza kumbana huyo mzungu mpaka wakainvest Tanzania kiukweli amefanya kitu kizuri.Changamoto kwa wamama wengine mnaopata wazungu wenyeuwezo mkumbuke kuinvest nchini mwenu.
Tunaweza sana tuuuuuhongera sana mama nami nafuata nyayo zako kumbe wanawake tunaweza safi sanaaaaaaaaaaaaaa
hawa ndio wanawake wanaotakiwa sio kama kina sepetunga wanaruka ruka tuuu watu wanawatumia bila mipango yeyote ya maana...
huyu mama ni hardworker sana lakini pia aliolewa na mzungu mwenye pesa na akamweka sawa mzungu wakawekeza hapa hapa nyumbani sasa hivi familia kibao za watanzania zinasurvive kwa ajili ya huyu mama. nililala ile hotel yake ya moshi ndio first time nikamwona yupo kama msomali hivi, KUDOS to her....
Kama alikuwa ni mmoja wa waajiliwa wa ATC nahisi uwalakini....!Alikuwa Mwajiliwa ATC Sasa Anamiliki Hoteli 5 Za Kitalii
WANAWAKE kwa muda mrefu wamekuwa wakiaswa kujituma na kujiamini ili waweze kufanikiwa katika kutimiza ndoto zao.
Kujiamini huko kunaweza kuwa na manufaa mengi katika kuinua maisha ya wanajamii hasa kama mhusika atakuwa akijiamini na kuanzisha mradi wake wa kujiajiri na kujikuta akiajiri watu wengine wengi. Zainab Ansell, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Utalii ya Zara ni miongoni mwa wanawake waliojitoa mhanga, kwa kuacha ajira na kuamua kujiajiri.
zaratours | zaracharity | highviewhotel | habarileo