Mwanamke wa kwanza mtanzania mwenye kumiliki Hoteli 5 za Kitalii

Behind every successful woman there is a successful man, huyu mama aliolewa na mzungu na fweza mbaya ndio aliyemtoa ingawa nae ni hard worker. Hongera mama hoteli zako ni nzuri mno
Aisee kweli kama vile Maria Sarungi na Rita Paulsen....
 
Dada yule ni chapakazi kwelikweli kama wengine wa namna hiyo. Tofauti ni kwamba chapakazi wengine wanashindwa kupiga hatua kama hizo kutokana na uoza ule iliotapakaa kila pahala. Kwa maneno mengine, biashara zingine bila kigogo referee huenda zikakosa elements flani za ubebaji. Thats reality. Sasa Mama ZM, aliyekuwa Waziri wa Tourism kipindi kile ....... unaweza connect dots!
 
hongera sana. kubwa la kuvutia ni kwamba unakumbuka kujeresha katika jamii kile ulichopata, katika hilo Mungu atakuzidisha hao yatima unaowasomesha sio bure Mungu atalipa. usizidi kufanikiwa amina
 
Huyu mama ameolewa na mswidish kitu ninachomsifu ameweza kumbana huyo mzungu mpaka wakainvest Tanzania kiukweli amefanya kitu kizuri.Changamoto kwa wamama wengine mnaopata wazungu wenyeuwezo mkumbuke kuinvest nchini mwenu.

Sio kumbana. Ni makubaliano tu ndani ya nyumba.
 
Behind every successful woman there is a successful man, huyu mama aliolewa na mzungu na fweza mbaya ndio aliyemtoa ingawa nae ni hard worker. Hongera mama hoteli zako ni nzuri mno
hongera zake nae hajajibweteka.
 
kuna upotoshaji kwenye hii taarifa,

Kuna tofauti kati ya campsite na Hotel, japo zote ni accomodation facility.
anachomiliki Serengeti na Ngorongoro ni campsite na sio hotel, kuna haja kubwa ya waandishi wakitanzania kuwa na specialisation. hi itasaidia kuandika habari kwa usahihi

naamini mafanikio ya huyu mama yalitokana na jitihada za mume wake pia ambaye ni Mkoloni, hii bishara anayofanya ina ushindani mkubwa saana kama huna mtu wa kukulink na wanakotoka watalii huwezi toboa,
 
Dada yule ni chapakazi kwelikweli kama wengine wa namna hiyo. Tofauti ni kwamba chapakazi wengine wanashindwa kupiga hatua kama hizo kutokana na uoza ule iliotapakaa kila pahala. Kwa maneno mengine, biashara zingine bila kigogo referee huenda zikakosa elements flani za ubebaji. Thats reality. Sasa Mama ZM, aliyekuwa Waziri wa Tourism kipindi kile ....... unaweza connect dots!

Kweli, ZM yuko nae kwa karibu sana.
Lakini ndio hivyo wanavyotaka wakubwa wetu, bila kuwa mtu wa dili huwezi kwenda mbali.
 
Zara = Zainab + Zakhia Meghji....tafakari
Viongozi ni binadamu kama sisi,wana marafiki wafanya biashara kama sisi na baadhi yao wana mafanikio makubwa katika biashara zao.KUwahusisha viongiozi na mali za marafiki zao bila ushahidi wowote ule ni mambo ambayo hayaendani na great thinkers.

Mafanikio ya huyu mama haya kupanda kama uyoga,yametoka na kufanya kazi kwa bidii, muda mrefu na kutokupenda makuu.
 
Alimuingiza kwenye ujumbe wa Bodi ya Ngorongoro,, kwa kutumia nafasi yake kama mjumbe ka set campsite ndandi ya hifadhi
Kuna campsite ngapi Ngorongoro? Nani lazima uwe mjumbe wa bodi ili uweze kufungua campsite?

Kwa mujibu wa sheria Zakia Meghi alikuwa anatakiwa kuteua wajumbe wa bodi, kuliwa na ubaya gani kumteua Zainab?
 
Alimuingiza kwenye ujumbe wa Bodi ya Ngorongoro,, kwa kutumia nafasi yake kama mjumbe ka set campsite ndandi ya hifadhi
Zainab ni mmiliki na ni mwenye mali, ana haki ya kumchagua yeyote yule ambae anaweza kuinua maslahi ya kampuni zake.
 
Kuna campsite ngapi Ngorongoro? Nani lazima uwe mjumbe wa bodi ili uweze kufungua campsite?

Kwa mujibu wa sheria Zakia Meghi alikuwa anatakiwa kuteua wajumbe wa bodi, kuliwa na ubaya gani kumteua Zainab?

Kwa idadi siwezi nikakupa kwani sina statistics za mwaka jana, ila zipo Campsite zinazomilikiwa na Makampuni kama ya huyu mama Zainab, nyingine zinamilikiwa na NCAA, na nyingine zinamilikiwa na wamasai wa ngorongoro kwa kushirikiana na NCAA na baadai ya makampuni ya kuongoza watalii

Tunachokipigania utaratibu wa kuwachagua wajumbe wa bodi wa mashirika ya umma haupo wazi hata kidogo, na sio sahihi kuwachagua wafanyabishara na kuwaweka kwenye bodi kama ya Ngorongoro, maslahi ya shirika yanakuwa jeopardised,kuweka structure yoyote ndani ya hifadhi kunategemea na management plan ya hifadhi husika maeneo kama (wilflife sensitive areas) mfano mapitio ya wanyama, yanalindwa na shughuli za kibidam, kama uko kwa bodi ni rahisi kujimegea tu haya maeneo...ni ngumu kuelewa nacholkieleza hapa lakini soon mtasikia kuna hoteli inajengwa Ngorongoro kisa miliki yuko connected kwenye bodi ya wakurugenzi, eneo hoteli itakapo jengwa ni mapitio ya wanyama, waliofanya EIA walionya ila kwa kuwa jamaa anainfluence kwenye bodi ujenzi uko pale pale
 
Lakini pia mtuma.uzi fatilia manyanyaso ya wafanyakazi wa ZARA TOURS moshi utatapika..
 
Zara tours n kampuni kubwa sana, kumbe huyu Ndo mmiliki wake
Hongera sana
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom