mwanamke wa kitanzania kuvuta sigara hadharani, mnaichukuliaje wadau?

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Binafsi inanishangaza ninapoona machangudoa wanavuta sigara hadharani japo inakuwa ni usiku. Lakini kwa mwanamke mwenye heshima zake mnamchukuliaje?
 
kwa raha zao...

ilimradi hauko karibu yao na hupati (second hand smoke)
shida iko wapi??
and is none of anyone's businesses .......
Ni machangudoa nani usiku so why do you care??
 
Wewe ka-Afrodenzi....unavuta sigara wewe? Ukijibu ndiyo utakiona cha mtema kuni. Wewe na kale ka-shostito kako ka-Lizzy....mna attitude sana nyinyi. Ntawatandika na mjeledi wangu mimi. Nyi leteni tu hizo zenu sijui za Unga Ltd.
 
MwehhhhhEti nina attitude ..We umesoma poster zako Vizuri kweli....
 
kwa raha zao...

ilimradi hauko karibu yao na hupati (second hand smoke)
shida iko wapi??
and is none of anyone's businesses .......
Ni machangudoa nani usiku so why do you care??

Hivi ni second hand smoke au 'passive smoker'?!!
 
Binafsi inanishangaza ninapoona machangudoa wanavuta sigara hadharani japo inakuwa ni usiku. Lakini kwa mwanamke mwenye heshima zake mnamchukuliaje?

Kwa taarifa yako sio machangudoa tu, hata PhD holders wanavuta hapa hapa bongo mchana kweupe though PhD holder anaweza kuwa changu au muuza K. Inasemekana sigara inatoa baridi hivyo wanazitumia kuondoa baridi kwani ukaa uchi uchi ili kupata wateja kiurahisi!!
 
mi namchukulia the same way nnavyomchukulia mwanaume mvuta sigara. namuona kama hajui risks anazozi-face! kwa nini unataka kutofautisha vyanzo vya vipato,jinsia na uvutaji wa sigara?
Binafsi inanishangaza ninapoona machangudoa wanavuta sigara hadharani japo inakuwa ni usiku. Lakini kwa mwanamke mwenye heshima zake mnamchukuliaje?
 
Binafsi inanishangaza ninapoona machangudoa wanavuta sigara hadharani japo inakuwa ni usiku. Lakini kwa mwanamke mwenye heshima zake mnamchukuliaje?

Hivi kwa nini tumejenga huu utamaduni wa kutaka wanawake wa-behave namna ss tunavyoona ni sahihi?????? Who is setting these stds?? Mara nguo fupi kule Iringa, mara ooh mwanamke wa kiafrika hatakiwi kuvaa suruali and now the fag story!!!!!!!!! Hivi kuvuta sigara ni illegal? Na kama siyo why for men is ok and for women inaonekana ishu? This is a choice issue, kama mtu akichagua is up to them after all wanaongeza pato la taifa.

Na ili kusitokee confusion say in future ni mambo yapi ambayo wanawake wa kitanzania hawaruhusiwi kuyatenda na kwa sababu zipi?
 
lol! let it go gal, huyu ni nyani bin ngabu, haoni nanilii lake hata umuwekee kiio...

Naona na wewe unataka kuchapwa.....ntakutuma ukalete fimbo yako mwenyewe nikuchapie nayo. Shauri yako....wewe viunge mkono tu hivyo vi kina Afrodenzi na kenzake ka-Lizzy.
 
hehehe, sichapikii! utaishia kuchapwa weye!manake ntakuitia faizafoxy, kubwa la maadui aseme nawe,lol

Back
Top Bottom