Mwanamke wa Kijijini au Mjini, yupi wa kuoa?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
I got a phone call this Sunday from one of my colleague (From Nigeria) na akaniomba ushauri as follows:

His question was: Is a village born ladies better than city born ladies if one is looking for a wife? Is ones character determined by where she is born or brought up? I know a lot happens in our cities that can influence the character of an individual.

Wakulu naomba maoni yenu.

My take to him was:
Hii issue ya kutaka mke wa shamba au mjini should be approached case by case. I strongly believe that our cities still have good ladies, inter-alia, there are also bad ones as well. At the same time the villages also have the two groups. There are village girls who once they come to town become worse. Men should know that marrying a village girl does not mean she will remain there. You will get work in the city and bring that village lady to the city and from there you will have the town girl you have been trying to avoid. It is for this reason that I think people should be judged by their natural character not by where they were brought up.

 
Maxishimba

Tell yourfriend that marriage is serious relationshsip and is meant to ever lasting. Though now we are intermingling, still we have opportunity to choose wives in any big or small community; that is from where he lives, does he go the the church? or is he participating in regular moral gatherings in communities? If so then that is a starting point

As Julius pointed out above you can choose a wife anywhere your love lead to, however in using human credible judgement he must make sure to find a wife in places where there is no doubts about the merits of his woman. Say you are falling in love with a striper or pole woman! au kakutana naye club bilicanas, au kamkuta mwanamke anapiga kilevi kalewa chakali then anasema anakuwa mke wake na naamini atakuwa mzuri!

Vijijini nako kuna wanawake wabaya kabisa na matabia mabaya kabisa,

If he believes in Jesus, tell him to employ him!
 
tunapokuja kwenye swala la kuoa issue kama mchumba anatoka wapi,halina maana kabisa.kumbuka huishi na kijiji au mji bali unaishi na mtu. ISIPOKUWA kama watu wawili unafikiria kuoa na kila mmoja ana sifa na vigezo vyote muhimu vimetimia na wapo droo. sawa kwa sawa.
Basi kama wewe ni mzaliwa wa town oa wa town na kama ni bushmen oa hukohuko bush.
 
kwa kweli hili ni swala la muhimu na binafsi kwani wakijijini wanaolewa na mjini pia wanaolewa na penzi alinaubaguzi kabisa linampenda yeyeto popote bila kubagua
 
Mie naona mwamanamke kijijini anafaa sana kuliko wa town, kwani angalau anafundishwa maadili mema na jinsi ya kuishi vizuri na mume lkn pia unaweza kubahatika ukakuta ana "seal"!
Haya mabo ya kusema akifika mjini atabadilika hayana uzito sana kwani akifika tu mjini ukamzalisha mfululizo watoto kama wanne na kuendelea hatakuwa na muda wa kutangatanga hata akifanya hivyo itakuwa ni baadae sana wakati wewe ushabenefit mambo mengi mazuri toka kwa mke mwema huyo.
Tofauti na wa mjini amabao wengi siku hizi hawajui hata kupika uji! au hawajui hata kufua nguo zao za ndani!, na unakuta keshakuwa mtaalamu sana wa ngono mwenye kujua staili za kila aina!!
 
Ngumu kujibu!, hakuna jibu la moja kwa moja!
Everything is too relative here!...Kupenda kuna vianzilishi vingi broda, nikikwambia mimi nilichompendea yule mama Chausiku utacheka ufe!
 
Seriously we need mental emancipation,your friend has no concrete reason to use community as the sole criteria in choosing his life mate

Mwanamke mzuri ni tabia na mtazamo wake ulivyo kuhusu ndoa,familia na dira ya maisha

 
Oa wa mjini ambaye ameshafanya starehe zote,so yuko tayari kutulia coz hakuna jipyakwake,huyo wa shamba unaweza lia akianza micharuko yake!!
 
Oa wa mjini ambaye ameshafanya starehe zote,so yuko tayari kutulia coz hakuna jipyakwake,huyo wa shamba unaweza lia akianza micharuko yake!!

Akianza itakuwa tayari umeshampiga mimba tano, itakuwa si mbaya. Wa mjini ktika hizo mimba tano nne zitakuwa za boyfriend wa zamani, utalisha mitoto ya watu hadi uzeeni!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom