Mwanamke wa Iran aliyefanya mapenzi nje ya ndoa kuuliwa leo kwa mawe

Wabongo wanalilia mahakama ya kadhi, mbona wanajipalia mkaa kwenye kidonda? Wangapi watapona hapa Bongo. Kwa sababu watu wengi wanapenda tundi na wanafanya kila kukicha. Nampongeza kikwete kukataa hiyo mahakama, lakini kunatetesi wamejipanga tena kumwomba JK aipitishe. Yetu macho.
 
Aliye kwambia kuwa mahakama ya Kadhi Tanzania itakuwa inajihusisha na hukumu za vifo nani?
 
Watu wanapotoshana, huyu kashiriki kwenye mauaji na ame zini na muuaji wa mumewe..ambae nae atauliwa for murder. All in all its a messy case, but according to Sharia married couples ndio wako punishable in that way..jamaa hakuwa mwanandoa lakini bado anakesi yamauaji. As for Tanzania, Sharia would not be dealing with criminal law rather civil issues (mirathi, etc) na inabidi wote wanaodaiana wajisalimishe kwa mahakama hii (kukubali lolote liteakalo amuliwa)... sort of like an arbitration tribunal.. STOP spreading LIES... Semeni ukweli watu wakubsli ama kukataa sio uongo na remix zaajabu....

KK
 
Wabongo wanalilia mahakama ya kadhi, mbona wanajipalia mkaa kwenye kidonda? Wangapi watapona hapa Bongo. Kwa sababu watu wengi wanapenda tundi na wanafanya kila kukicha. Nampongeza kikwete kukataa hiyo mahakama, lakini kunatetesi wamejipanga tena kumwomba JK aipitishe. Yetu macho.

Kinachopelekea huyo mama kuuliwa kikubwa ni yeye kutuhumiwa kuuwa mumewe na huyo bwana mpya(i.e kesi ya mauaji). Na hiyo hata tanzania hapa ipo ivyo ila haitekelezwi ipasavyo. So usichanganye na mambo ya mahakama ya kadhi kwani hata adhabu za mahakama ya kadhi ni kupigwa MAWE au BAKORA na sio kunyongwa kama ilivyoainishwa juu hapo.

Ushauri wa bure kwako D'junior, Usikurupuke kny kuchangia think before posting any comment. Na usipende kupandikiza chuki isiyokuwa na maana yeyote. Tumia muda wako kufikiria positive usiwe kisiasa kila mara... Mtazamo tu
 
Back
Top Bottom