Mwanamke wa Iran aliyefanya mapenzi nje ya ndoa kuuliwa leo kwa mawe

weny makosa makubwa wapo huru ila kula tunda alilotoa Mungu eti unauawa, hii dini thats why sitokaa kuipenda hadi warekebishe vifungu hivi
 
hata hao nao wanatakiwa waadhibiwe,tatizo ni ushahidi...dini haiendeshwi kibubusa tu.bring evidences 2washughulikie!
 
Hukumu za namna hii hutolewa na Mahakama ya Kadhi kwenye nchi zinazo tumia Sharia, wabongo ikubalini tu mahakama ya Kadhi hukumu kama hizi ni ruksa!-Be care!
 
3 November 2010 Last updated at 10:00 ET


Iran stoning woman not executed, France says

_49122683_010168533-1.jpg
Ms Ashtiani's case has sparked an international outcry

An Iranian woman sentenced to death by stoning for adultery has not yet been executed, says French Foreign Minister Bernard Kouchner.
A rights group had said Sakineh Mohammadi Ashtiani could face the death penalty as early as Wednesday.
Mr Kouchner said Iranian Foreign Minister Manouchehr Mottaki told him no verdict in her case had been reached.
The AFP news agency quoted an Iranian judiciary official as saying Ms Ashtiani was in "perfect health".
Ms Ashtiani was originally convicted of adultery several years ago and sentenced to death by stoning.
Her case rose to international prominence and in July reports emerged that she had been sentenced to death for the murder of her husband.
In September, Iran said her stoning sentence had been suspended but she could still be hanged for murder.
'Cease repression' "Manouchehr Mottaki assured me that Iranian legal authorities had not yet reached a verdict in the affair relating to [Ms Ashtiani] and that the information regarding her alleged execution did not correspond to reality," Mr Kouchner said in a statement.
A rights group campaigning to free Ms Ashtiani earlier said that "authorities in Tehran have given the go-ahead to Tabriz prison" to execute her, possibly on Wednesday or soon after.
The International Committee Against Stoning then said that Ms Ashtiani had not been executed on Wednesday because of the global protests the news aroused.
A number of countries, including France, the US, the UK and Canada, had condemned her possible execution.
"We call on the Iranian authorities to respect basic human rights, cease their policy of repression and intimidation and release those who are currently being held without justification," said Mr Kouchner after his telephone call with Mr Mottaki.
The president of the European Parliament, Jerzy Buzek, said if the news of the postponement of Ms Ashtiani's execution were confirmed, "it would be a step in the right direction".
"The Iranian authorities should now use this occasion to review Ms Ashtiani's case in a fair and transparent trial," he said in a statement.
An Iranian foreign ministry spokesman accused the West of trying to exert undue pressure on his country.
"They have become so shameless that they have turned the case of Sakineh Mohammadi Ashtiani, who has committed crime and treason into a human rights case against our nation," said Ramin Mehmanparast.
"It has become a symbol of women's freedom in Western nations and with impudence they want to free her. Thus, they are trying to use this ordinary case as a pressure lever against our nation," he was quoted as saying by Iran's ISNA news agency, according to AFP.

Source: BBC News - Iran stoning woman not executed, France says
 
Sheria hii ingekuwepo hapa bongo, wangekufa wengi tuu kupita ukimwi :)
 
hizi sheria za kighafidhuna na kifirauni sana dhidi ya wanawake
inakuwaje mtuhumiwa uasherati anakuwa mmoja? au aliye
fanya naye mapenzi ni shekhe mkuu? hivyo adhabu haimuhusu?
 
Mambo ya sharia na mahakama ya kadhi hayo... Nuksi kweli... Tz walitaka kutuadhibu nasi lakini jk kaokoa jahazi.... Inshallah!!!
 
Uko sawa bro Ubungoubungo, kwa nini adhabu hii haimuhusishi mwanamume, au machoni pa hawa waIran ni mwanamke tu ndio mzinifu?

Pamoja na yote haya hivi kweli kwa kosa la uzinifu tu ndio mtu astahili adhabu ya kifo tena kwa kupigwa mawe? hii ni kuonesha jinsi jamii hii ilivyo na kiwango kidogo cha ustaarabu! sawa wanaweza sema eti wanafuata sharia, lakini kwa ufahamu wangu si imeandikwa na sharia hiyohiyo kuwa "

....Ama kwa hakika iepukeni zinaa, kwani zinaa ni uchafu mkubwa mno kwenu, na mwanamke mzinifu na mwanaume mzinifu wachapwe viboko mia moja kila mmoja huku ikishuhudiwa na walioamini" Sasa hii ya wazanifu kuuwawa kwa mawe imeandikwa wapi?
Viboko 100 ni kwa wasio wanandoa ila kwa mwanandoa ni mawe mpaka arudishe namba
 
There’s the eternal question. Is Islam a religion of peace, co-opted by savage medievalists, or a religion of cruelty and tyranny, given a gloss of acceptability by well-meaning adherents? Which is the true face of Islam, the Red Crescent or the Taliban?

“I will cast terror into the hearts of those who disbelieve. Therefore strike off their heads and strike off every fingertip of them.” (Koran, 8:12).

The Koran is the reason for abuses in the name of Islam and/or the current crop of fanatics.
 
ni aibu kwa utu wa binadamu. watakao mpiga mawe ni wananchi au wanyongaji wa serikali?.nani kati yao watakaompiga mawe ambaye yeye ni mkamilifu? hizi tamadani nyingine jamani ni mbaya, ni aibu kwao.
 
Duu hivi sharia inatokana/ imeletwa na nani ??
Mtu huyu ni katili na muuaji!!!
Simpendi!
 
5094742.jpg

Sakineh Mohammadi-Ashtiani

Wednesday, November 03, 2010

Mahakama ya nchini Iran imeruhusu adhabu ya kifo inayomkabili mama wa watoto wa wawili wa nchini Iran ambaye alikamatwa akifanya mapenzi na mwanaume aliyemuua mume wake.Pamoja na shinikizo kubwa toka nchi za Magharibi na taasisi za kutetea haki za binadamu, Sakineh Mohammadi-Ashtiani huenda akauliwa leo kwa kupigwa mawe kwa mujibu wa vyanzo vya habari.

Mwanaharakati anayemtetea Sakineh alisema kuwa wamepokea taarifa toka kwa mtu anayefanya kazi ndani ya mahakama kuwa Sakineh atauliwa siku ya jumatano.


"Tumepokea taarifa siku tatu zilizopita kuwa Sakineh atauliwa siku ya jumatano", alisema Mina Ahadi, mwanaharakati anayemtetea Sakineh wakati akiongea na shirika la habari la AFP kuhusiana na barua aliyotumiwa na mtu ambaye hakutajwa jina lake.


Mahakama ya mji wa Tabriz ambako Sakineh ametupwa jela imeruhusu adhabu ya kifo inayomkabili Sakineh itekelezwe. Kwa kawaida adhabu za kifo nchini Iran hutekelezwa siku ya jumatano.


Tangu mwezi julai mwaka huu Iran ilikuwa ikisema kuwa adhabu ya kifo kwa kupigwa mawe inayomkabili Sakineh haitafanyika mpaka baada ya kuidhinishwa na mahakama kuu.


Sakine mwenye umri wa miaka 43 ambaye ni mama wa watoto wawili, alihukumiwa adhabu ya kifo na mahakama mbili tofauti mjini Tabriz mwaka 2006.


Adhabu yake ya kwanza ilikuwa ni adhabu ya kifo kwa kunyongwa ambayo baadae ilibadilishwa kuwa kifungo cha miaka 10 jela. Adhabu hiyo ilitokana na Sakineh kutuhumiwa kushiriki kwenye mauaji ya mumewe.


Adhabu ya pili ya kifo ilikuwa ni kuuliwa kwa kupigwa mawe kwa kosa la kufanya mapenzi nje ya ndoa na mwanaume aliyekamatwa kwa mauaji ya mumewe.


Chanzo: Nifahamishe

Ushenzi wa hali ya juu na wanahaibisha dini ya kiislamu kuonekana kama ni ya watu wasio na utu.

Why kill when you can not create. Shenzi sana.
 
Mahakama ya kadhi ikianzishwa ndo mojawapo ya hukumu zake zitakavyokuwa. Ndo maana watu wanapoipinga hii mahakama inabidi tuwaelewe
 
Jamani, mbona wanataka kumkili mtoto mziri kiwango hiki? Au warembo wengi sana Iran!!???
 
Hii wakiweka tz itakuwa balaaa..aaaah nod mambo ya mahakama ya kadhi eeh
 
Back
Top Bottom