Mwanamke wa Dar

Una miaka 100?
Au unatafuta tu sifa we mbumbumbu endelea kunya porini na kuchunga ng'ombe
We Bitoz acha kuleta ubitoz wako wa kifala. Sasa we kuichi Dar mabondeni unajiona bonge la mjanja??? Nenda kagawe tigo huko usiniletee usenge wako hapa. Makonda bado anawatafuta wewe endelea na mdomo mdomo wako hapa utaishia segerea ndo ukagawe dozi vizuri.
 
Mbumbumbu tu ww kwani umeitwa huku kwenye huu izi uje ukomenti na kwa taarifa yako NAJUA KUTUKANA ZAIDI YAKO.....
Kutukana ni dalili ya mtu mbumbumbu so sishindani na mbumbumbu like you
Uzi upo kiutani na kiburudani hujaitwa kutoa povu na matusi sema una kimbelembele na unatafuta sifa

NB:
Tukana uwezavyo uprove ujinga wako wala sibabaiki na kupoteza time kukujibu mbumbumbu people like you
 
We we kila.za kweli uzi umefungua wa nini ? Wewe unataka uwakejeli wenzako lakini ukipewa dozi povu linakutoka na mimi mwanzoni hata sikutukana mtu I was just joking lakini naona ilikuingia vizuri .
 
Tofautisha kejeli/utani na MATUSI
Km huwezi utani kaa pembeni angalia tunavgotaniana sio lazima ukomenti kimsingi umekuja kutukana na sio kutaniana
 
Kila MTU ana utani wake pia kuna utani wako ambao watu wengine wanauchukulia kama umewatukana but sio lazima watoke povu. Sasa Mimi kusema haya watoto nendeni mkalale, kwanza hakuna sehemu nilikutarget wewe personally ndo maana nashangaa povu la nini?
 
Poa basi tutabishana sana
Turudi kwenye lengo la uzi ...
 
Na makao makuu ya nchi tunahamishia dodoma yaani nikitoka mwanza na mifugo yangu mwisho dodoma tuone nyama na viazi vya chips nani atawauzia mpaka mtie adabu muendeshe matrekta muanzishe kilimo
 
Wanaume wa Dar mnakuwa weupe kwa Kunywa maji tu, mnatisha!

Ila hao mabinti sio riziki, wamejikoboa kama unga wa sembe na marangi rangi kama antibiotics!
 
Na makao makuu ya nchi tunahamishia dodoma yaani nikitoka mwanza na mifugo yangu mwisho dodoma tuone nyama na viazi vya chips nani atawauzia mpaka mtie adabu muendeshe matrekta muanzishe kilimo
Dodoma itabaki kuwa Dodoma tu hata jina tu ni la kishamba tu
Gar es salaam ndo baba lao na chipsi tunaebdelea kula hata muongee maneno gani
 
Nyie waporipori mmeacha kunywa mataputapu na kubwia ugoro?
Tunakunywa. Na hatuachi.. naskia wanaume wa huko mjini kila siku mnatapeliwa na waporipori. Tunakuja kuwadanganyana tuna dawa za kuongeza nguvu za kiume hangaikeni sana. Mwisho wa siku hela mtukusanyie
 
Hivyo vipesa wala havituumi naona vinawasaidia kuendeleza kilimo na kujengea vibanda vya tope huko porini
 
Asilimia 99% ya matangazo ya waganga wanaojidai kutibu nguvu za kiume yako dar halafu mlivyo vilaza wanaume wa dar manamiminika kama mafuriko jamaa anapiga pesa anarudi bush kuongeza mashamba na mifugo upo hapo
 
Asilimia 99% ya matangazo ya waganga wanaojidai kutibu nguvu za kiume yako dar halafu mlivyo ****** wanaume wa dar manamiminika kama mafuriko jamaa anapiga pesa anarudi bush kuongeza mashamba na mifugo upo hapo
Na nyie mlivyo mambumbumbu mnakesha shambani kutwa nzima halafu siku mkivuna tunakuja kununua mazao yenu kwa hela kiduchu kisha tunarudi town kuuza kwa bei ya juu tukiwaacha nyie maporini mnakufa kwa umaskini
Poleni sana bado hamjashtuka
Kulima mlime nyie pesa tunapiga sisi

Similar Discussions

Back
Top Bottom