Mwanamke wa dar habiba bilalli,awania uraisi kwa nguvu-akamatwa.

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
Mwananke Habiba Bilali wa Temeke alifikishawa mahakama ya kariakoo jana kwa kosa la kuingia ikulu ya Dar bila ruhsa. Alipoulizwa alikiri kuwa anataka kuwa rais mwaka huu na kaongozwa na Mungu kuwa kwanza atembelee maeneo hayo
 
mahusiano,mapenzi, urafiki
 
tall
Senior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Sat Feb 2010
Posts: 155
Thanks: 14
Thanked 33 Times in 26 Posts

Bado kamba miguuni au?
 
Mwananke Habiba Bilali wa Temeke alifikishawa mahakama ya kariakoo jana kwa kosa la kuingia ikulu ya Dar bila ruhsa. Alipoulizwa alikiri kuwa anataka kuwa rais mwaka huu na kaongozwa na Mungu kuwa kwanza atembelee maeneo hayo

Tall
karibu jamvini:D
 
Katumwa na yule jamaa toka kanda ya kaskazini(mwenye makengeza) kwani kaona uwezo wa kuwania urais haupo sasa bora amtumie huyo mbeijing kumlaghai mkulu,si mnajua mkulu kwa hao viumbe!
 
Yupo mtu mmoja miaka ya nyuma aliingia Kikwete State House,kwa sababu za kijinga zinazofanana na hizi,[sikumbuki sababu zipi].na yule mtu aliachiliwa huru. Sasa sijui kwa nini huyu mwanamke analeta so much excitement,unless labda ni kutaka kujua kama alikuwa na sababu nyingine zaidi ya hiyo,na kama usalama wa Rais ulikuwa hatarini, Halafu amekamatwa siku ya Wanawake Duniani,au wakati huu ambapo Ndugu Rais ametoa hotuba kusema kwamba atatetea haki za wanawake, wakati huu ungefikiria kwamba ni majira ya kuwa lenient kwa wanawake.lakini siyo kwa Ikulu hii.
Hii ni kama Abrahama alipoambiwa na Mungu kwamba atapewa Nchi ya Canaan,kwa hiyo aitembelee kwanza.
Ni kama Yesu Kristu alipopelekwa kwa Pilato ,kustakiwa kwamba anawazuia Wayahudi kulipa kodi,anataka kuwa Mfalme,wakati Mfalme yupo tayari,Kaezari;Pilato alikuwa yuko tayari kumuachia huru,Pilato na Herod pia,wote walitaka kumuachia huru,lakini Mafarisayo wakaleta fujo.licha ya Pilato kusema kwamba huyu Yesu,ni just a 'religious fanatic' na kwamba Sheria ya Rome hairuhusu kumuua mtu kama huyu.
 
"that all are equal,all are free and all deserve a chance to pursue their full measure of happiness" HOPE OVER FEAR.................
 
Mwananke Habiba Bilali wa Temeke alifikishawa mahakama ya kariakoo jana kwa kosa la kuingia ikulu ya Dar bila ruhsa. Alipoulizwa alikiri kuwa anataka kuwa rais mwaka huu na kaongozwa na Mungu kuwa kwanza atembelee maeneo hayo

inahusiana vipi na Jamvi la mahusiano, urafiki na mapenzi????? aipeleke hii thread Jukwaa la siasa,

Sina Comment hapa
 
Katumwa na yule jamaa toka kanda ya kaskazini(mwenye makengeza) kwani kaona uwezo wa kuwania urais haupo sasa bora amtumie huyo mbeijing kumlaghai mkulu,si mnajua mkulu kwa hao viumbe!

Mkuu,

Una visa wewew,nimecheka kweli.
 
Katumwa na yule jamaa toka kanda ya kaskazini(mwenye makengeza) kwani kaona uwezo wa kuwania urais haupo sasa bora amtumie huyo mbeijing kumlaghai mkulu,si mnajua mkulu kwa hao viumbe!

Kama mtu huna la maana la kusema si lazima ujibu post. Sasa hapa unataka kusema nini?

Halafu eti unaita wanawake "viumbe". Hebu kuwa mstaarabu kidogo
 
Back
Top Bottom