Mwanamke wa benki

kama ni bibi muache akae uko mbali but kama bado mbichi ninoma mkuu fanya faster. issue kama izi watu wanajuta kinoma.
 
unaandika thread km unaandika simu ya maneno.andika ujimwage ueleweke co kifup km hvyo
 
...wel Mwambie aibe bank mkimbie,af wewe acha kazi,mle za uwizi.
 
Ungesema mchumba angalau sa akipata wakumuita mke atangoja nini kwa wewe unae muita dem
 
Yaani we ndo hujielewi kabisa, nakushauri uachane na stori za vijiweni......coz am sure hapo washakujaza miwasiwasi!!
 
Daaah! Tatizo lipo tena kuubwa sana, cha kufanya muachishe kazi halafu na wewe acha kazi, mtapata muda mwingi wa kushinda nyumbani mkitazamana!
 
Mwanao akikuomba ushauri kwa hilo swala utamshaurije?
Mwanaume wa siku izi legelege sana.
 
Acha kutojiamini Kama kuna Mapenzi ya Kweli

Umbali sio Tatizo la kuvuruga Mahusino
 
tatizo shule
Hii thread ina poor argument
Anafanya kazi Benk,then
Mbali,so
 
Weka Cv yako na ya huyo Mlupo(demu) plz plz!!!!!!!!!!!!
Vilevile nipe Chanzo chako cha habari mwenyewe anajua,kuwa unamtilia waswas,asije akaku LuLu
 
Acha kutojiamini Kama kuna Mapenzi ya Kweli

Umbali sio Tatizo la kuvuruga Mahusino

Nina uzoefu wa miaka takribani 15 ktk masuala ya ndoa. Umbali mkubwa kati ya wanandoa in short ni tatizo kubwa. Wapo wachache sana wanaoweza ku-handle hii kitu!
 
Nauliza kwan naskia dada zetu na tamaa zao sku hz ni rahsi kubadilika wakiwa sehem kama hzo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom