Mwanamke utajisikiaje/jihisije/chukuliaje..........

Kaka ndio unalivumbua leo hilo,sisi wengine ni ulabu kwa kwenda mbele wameshaitisha mpaka vikao vya wajomba maana kwa wazazi ilishindikana..

Mkuu ina maana wajomba wana nguvu kuliko wazazi......!!
Halafu mbona wewe ni mtakatifu sasa ulabu wapi na wapi.......!!
Au ni jina tu......................!
 
Safi sanaaaaa...Natamani wanaume wote tungeiga mfano wa huyu mheshimiwa kwenye hii picha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom