by default
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 839
- 215
Kaunga mimi kuna msichana m1 alikuwa best wangu kweli ilikuwa akitokewa na mshikaji lazma aniambie japo mimi nilikuwa msiri kwa mambo yangu sikuwa namwambia kila kitu kama ilivyokuwa kwake.siku 1 akaniambia kuna mwanaume kamfuatilia miaka 6 kashamkataa lakni mkaka aelewi,mimi nikamwambia mie miez3 inanitosha kumfuatilia msichana ninimkosa nasepa ,si akaanza kujisifu eti wasichana naokutana nao wanakuwa si wazuri kama yeye nikamwambia wewe nikiamua ndani ya mwez aufurukuti lazma nikupate akagoma tena akasema nisahau kuwa nae tutabaki kuwa friend vilevile ajawai kuwa na isia za mapenz juu yangu,ilikuwa mzaha lakni yeye akawa anapga ikulu mwanaume nikafunguka nikamwambia ata mimi ajawai kunivutia na kamwe siwez lala nae namuona wakawaida sana ,ghafla kimya kikatawala akakata simu akanitumia txt akitaka niandike kile nilchosema asome katika utuliv nikampotezea baada ya kuisi nimemuhumza ,kuanzia hapo urafiki umepungua samtime nikmpigia ananipotezea.wanawake mnapenda sifa za kijinga mkipewa ukwel mnamaind kama huyu mwenzenu alikuwa anapima kina cha maji kwa mguuKama ni rafiki wa ukwelii hawezi fanya hivyo. Na kama akifanya basi hafai; maana hakufai, anataka kutumia weekness zako (si ulikuwa unamsimulia) kukutumia tu.
Nitafanya nini? Nitavunja urafiki coz nitamchukia automatically!
Last edited by a moderator: