Mwanamke: utafanyaje utakapokabiliwa na mtego huu.........?

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
couple_annoyed.jpg

Ingekuwa zamani labda watu humu wangesema hiyo haiwezekani, lakini kukua kwa utandawazi na muingiliano wa tamaduni, siku hizi jambo hili limeonekana kuwepo katika jamii yetu.

Siku hizi ni jambo la kawaida kukuta mwanamke anaye rafiki wa kiume ambaye si mpenzi wake. Urafiki wenu huo ni wa kupeana ushauri kuhusu maisha au kuhusu mahusiano na mmekuwa mkitembeleana majumbani mwenu na wakati mwingine mmekuwa mkitoka out pamoja. Inaweza ikawa lunch, dinner au hata kwenye klabu.

Kwa mfano inatokea baada ya kudumu katika urafiki wenu kwa miaka labda tuseme miwili inatokea mwanaume huyu anataka kwenda mbali zaidi, anataka mshiriki tendo, tena anaonesha msisitizo kiasi kwamba anatishia kuvunja urafiki wenu iwapo utakataa. Anaweza kuingia na gia ya kukuoa lakini anataka mshiriki kwanza tendo ili mpate kufahamiana zaidi.

Ni mtu unayempenda kama rafiki, na hukutarajia kama kuna siku atakueleza kuhusu jambo hilo. Je ungefanyaje kukabiliana na mtego huo.......... Ukizingatia kwamba mmekuwa marafiki kwa muda mrefu na usingependa urafiki wenu uvunjike....................
 
kama nampenda namwachiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:redface::redface:
inategemea lakini kama niko na uhusiano tayari,kama ninaye wangu wa ubani na yeye anajua hilo urafiki unavunjika aiseee.....:eek2::spy::redface:
 
Neema tusema ulikuwa na mpenzi ikatokea mmeachana na yeye anaye mpenzi lakini uhusiano wao hauko vizuri... mpenzi wake amekuwa akim dissapoint mara kwa mara na unajua hayuko happy katika huo uhusiano.....
Haya funguka mwanakwetu
 
Last edited by a moderator:
Naomba muwe wakweli wa nafsi zenu kwani mtawasaidia wanaume wengi wanaotaka kupitiliza.......................
 
Neema tusema ulikuwa na mpenzi ikatokea mmeachana na yeye anaye mpenzi lakini uhusiano wao hauko vizuri... mpenzi wake amekuwa akim dissapoint mara kwa mara na unajua hayuko happy katika huo uhusiano.....
Haya funguka mwanakwetu

hapana Mtambuzi sitaingia kny mahusiano naye kama kuna cloud ya uncertanities ina hang over us,mpaka niwe sure kuwa yuko peke yake na mie niko peke yangu hatuna commitmets ndio nitaingia kny mahusiano naye and thats if i find him attractive kwa maana nyingine nimevutwa,lol:redface:
 
Last edited by a moderator:
Wanawake mbona mnaogopa kuchangia hii mada........... Imekuwa ya moto eh?

Najua kuna wanaume humu wanawa PM kwa geresha wakijidai ni marafiki kumbe wana lao jambo, ni vyema mfunguke ili wajue mustakabali wa hatima yao..........................

Ha ha ha haaaaa, najua Erickb52 na Bishanga pamoja na Kaizer watanimaindi..........................LOL
 
Last edited by a moderator:
[MENTION]Kwa mfano Anaweza kuingia na gia ya kukuoa lakini anataka mshiriki kwanza tendo ili mpate kufahamiana zaidi.[/MENTION]
Kwani mkuu bidhaa si mpaka uijaribu ndio ununue?
Ukiona kakauka ujue hailipi hiyo!
 
Safi sana mtambuzi kwa kutusaidia!
Wapi smile,charmglady,kongosho,madame,
njooni mtiririke
 
hapana Mtambuzi sitaingia kny mahusiano naye kama kuna cloud ya uncertanities ina hang over us,mpaka niwe sure kuwa yuko peke yake na mie niko peke yangu hatuna commitmets ndio nitaingia kny mahusiano naye and thats if i find him attractive kwa maana nyingine nimevutwa,lol:redface:

Hewaaa, hapa sasa najua utawasaidia wanaume wengi wanaotega mingo humu JF...........
Haya hayaaa ................ wale wanaume single watega nyavu wanaokesha humu JF wakiwa na ndoto za Alinacha kuvizia bahati ziwadondokee, bi dada Neema keshafunguka, nyie songesheni tu, kumbe inawezekana................
 
Kwa mfano Anaweza kuingia na gia ya kukuoa lakini anataka mshiriki kwanza tendo ili mpate kufahamiana zaidi.
Kwani mkuu bidhaa si mpaka uijaribu ndio ununue?
Ukiona kakauka ujue hailipi hiyo!
Mkuu siku hizi mwanamke kukataa kuonjwa huwa hailipi, wengi wanatoswa.......... sisi enzi zetu unachumbia kwa kuonyeshwa picha tu na unalipa mpaka mahari, unakuja kula kwa raha zako baada ya ndoa kufungwa, sasa hapo ndio utajua kama ni masalo au kitu mnato....

Hii asije akaisoma King'asti na Cantalisia ...............LOL
 
Last edited by a moderator:
Wanawake mbona mnaogopa kuchangia hii mada........... Imekuwa ya moto eh?

Najua kuna wanaume humu wanawa PM kwa geresha wakijidai ni marafiki kumbe wana lao jambo, ni vyema mfunguke ili wajue mustakabali wa hatima yao..........................

Ha ha ha haaaaa, najua Erickb52 na Bishanga pamoja na Kaizer watanimaindi..........................LOL

Aaaaha mkuu umenichekesha hapo kwa red. Naona umeamua kupeperushia watu ndege wao. Halafu ulivyo mjanja, umetuzuia sisi tusitie neno....... haya bana ngoja tuwe wasomaji tu!
 
Hahahaaa na kweli nakumind coz unatuharibia mitego yetu lol
Back to topic
Hili suala ni la kweli na kwa kawaida kuhusu kubadili mahusiano huwa inakuja bila kujua yani wahusika wanajikuwa wako ndani ya love na Mtambuzi kwa kawaida mtu mliyekuwa nae kwenye urafiki wa kawaida(Upendo wa Agape) then mkaingia kwenye mapenzi mengine...mahusiano huwa mazuri sana na heshima kubwa sana na huwa yanadumu kuliko kawaida.
Na kimaisha inashauriwa kuwa na urafiki wa kawaida kwanza ndio mapenzi yafuate.
Ila kwa akina waluwalu kama Bishanga wao wakiona mdada kawazoea kidogo wanataka tamtam lol hao ndio mashaka.
 
Last edited by a moderator:
Aaaaha mkuu umenichekesha hapo kwa red. Naona umeamua kupeperushia watu ndege wao. Halafu ulivyo mjanja, umetuzuia sisi tusitie neno....... haya bana ngoja tuwe wasomaji tu!
Dah we acha tu huyu mzee hafai kabisa
Anawalinda mabinti zake tu..!
Ila hata iweje King'asti lazma aingie mikononi mwangu kwa namna yoyote
 
Last edited by a moderator:
Kama ni rafiki wa ukwelii hawezi fanya hivyo. Na kama akifanya basi hafai; maana hakufai, anataka kutumia weekness zako (si ulikuwa unamsimulia) kukutumia tu.

Nitafanya nini? Nitavunja urafiki coz nitamchukia automatically!
 
quote_icon.png
By Mtambuzi

Mkuu siku hizi mwanamke kukataa kuonjwa huwa hailipi, wengi wanatoswa.......... sisi enzi zetu unachumbia kwa kuonyeshwa picha tu na unalipa mpaka mahari, unakuja kula kwa raha zako baada ya ndoa kufungwa, sasa hapo ndio utajua kama ni masalo au kitu mnato....
Du! haya mkuu!!!!!!!
 
Back
Top Bottom