mwanamke usafi jamani na sio tu wewe binafsi ni hadi nyumba unayoishi jamani

raha ya down ni usafi bwana
mtu anavaa underwear za kichina halafu chafu daily mafangasi
naipenda down yangu sana jamani loh
ngoja nitawapa somo siku moja

Hiyo down yako ningependa japo kuiona ili nitoe marks vizuri.
 
Nafikiri kwa swala la usafi wa choo watanzania wngi wana matatizo, kuanzia watu binafsi hadi taasisi, nenda kwenye maofisi ya uma, utakimbia, nenda pale muhimbili university au UDSM, huko kote licha ya usomi wao vyoo vya kuanzia mabwenini hadi wanavyotumia maprofesa ni kinyaa tupu na hakuna anayejali. Nafikiri tuna ule mtazamo kuwa chooni ni sehemu chafu na hivyo hakuna sababu ya kusafisha kiviiile!
 
raha ya down ni usafi bwana
mtu anavaa underwear za kichina halafu chafu daily mafangasi
naipenda down yangu sana jamani loh
ngoja nitawapa somo siku moja

Utashangaa wengine baada ya kwenda haja kubwa wanatumia makaratasi hapo ndio balaa zaidi.
 
Usafi ni hulka na malezi. Kuna watu wengine hawajui kuwa hata buibui ndani ya nyumba ni uchafu. Utakuta mabuibui yamejenga juu kama maua na mtu anaona poa tu, ila ukimuona nje - acha.
 
Nafikiri kwa swala la usafi wa choo watanzania wngi wana matatizo, kuanzia watu binafsi hadi taasisi, nenda kwenye maofisi ya uma, utakimbia, nenda pale muhimbili university au UDSM, huko kote licha ya usomi wao vyoo vya kuanzia mabwenini hadi wanavyotumia maprofesa ni kinyaa tupu na hakuna anayejali. Nafikiri tuna ule mtazamo kuwa chooni ni sehemu chafu na hivyo hakuna sababu ya kusafisha kiviiile!
yaani kuna siku nilienda ofsi moja kubwa tu tena sana vyoo vizuri kabisa nikakutana na boss mmoja mlangoni ndo anatoka kwanza iyo harufu tu kidogo nizimie sijui watu wanakula nini bwana? huku nyuma kumbe kaacha msala balaa weeeeeeee sikuamini jamani loh
yaani maji yapo kila kifaa cha usafi kipo ila mtu akishamaliza haja zake ananyanyuka anaondoka khaa
heri hata wamasai wanachambia rungu
 
Ndimu ya unga ikuchanganya na majivu, huoni hata doa kwenye sink. Choo cha shimo tumia manjivu na maganda ya limau unaweza kunywa mbege chooni bila bughdha, kisha choo kinakuwa hakijai. siye kwetu tuna choo cha shimo lakini tumeweka choo cha kihindi ukishashusha unamwaga maji kila siku mwenye zamu anakiosha kwa majivu na limao, hakuna shida
 
umenena vema sana
 
bora ulivowaambia mana wengine wangesingizia hawana ela haya ndimu ina garama gani na majivu
 
Nice lesson
pamoja sana tu images.jpg
 
yaani kuna siku nilienda ofsi moja kubwa tu tena sana vyoo vizuri kabisa nikakutana na boss mmoja mlangoni ndo anatoka kwanza iyo harufu tu kidogo nizimie sijui watu wanakula nini bwana? huku nyuma kumbe kaacha msala balaa weeeeeeee sikuamini jamani loh
yaani maji yapo kila kifaa cha usafi kipo ila mtu akishamaliza haja zake ananyanyuka anaondoka khaa
heri hata wamasai wanachambia rungu
u made ma day my dear loh!
 
Back
Top Bottom