mwanamke usafi jamani na sio tu wewe binafsi ni hadi nyumba unayoishi jamani

AMINATA 9

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
2,120
640
[h=6]PTUUUUUU hEBU TEMENI MATE KWANZA...
Hivi mwanamke ni kuvaa tu nakupendeza?
yaan kuna mdada maridhawa mrembo tena
mpana mijisifu kibao kuna siku nilikuwa kwake
twapiga story mbili tatu hamadiii kojo likanibana
nikaomba kwenda washingroom jaman jaman jaman
yaaan tena kwa mapana akanambia sikuingizi choo cha public
ingia cha chumban kwangu heee jaman choo kichafu nikajiuliza km hiki anachotumia yeye na mmewe tu kichaf hv je angeniingiza za jumuia c ngezimia?

choo kina mnato wa udhurungi miswaki 8 wakat wako wawili,mi box ya sabun ilokwaisha khaaa jaman naomben tukumbushane hapa NYUMBANI KWETU choo chako ndo TASWIRA YAKO me binafs huwa namjudge m2 kwa usaf wa choo/nyumba kwa ujumla sio lacewig wala CL mwanamke usafi jaman sasa km choo kikiwa kichafu vile unaweza kusex na mpz toilet? c mtateleza? kisa cha kumtia degedege la ukubwan mtoto wa mwanamke mwenzio? sikuhz sabun za choon bei rahis hata kama huna uwezo wa VIM hata jivu lasugua vizur airfresh hata ya asili tu unanyunyiza akaa GOGO walishusha kwa starehe napenda unaenda unakuta choo safi mziigo unateremeka kwa nafas bila woga hadi kausingiz kanakuja sio unajihelp huku umeziba pua haihuuuuuuuuuu

mwanamke usafi jamani NIMEWAKUMBUSHA TU WENZANGU choo ndio msingi wa house jamani katika usafi na pia nyie wakaka ukiona mkeo labda mungu kamjalia uvivu mkumbushie kusafisha choo au ka hataki basi fanya ww kuepuka magonjwa ndani ya nyumba na vinyaa)))))))) njoo kinatakiwa kiwe kisafi mpaka mtu anajihelp huku anaweza hata kunywa beer hukohuko
[/h]
 
KAMA HUNA UWEZO WAWEZA TUMIA HII HAINA GARAMA SANA ILA ITAKUFANYIA NYUMBA YAKO KUA CLEAN SANA

Matumizi ya bicarbonate of soda kwa ajili ya usafi mbalimbali. Unanyunyuzia bicarbonate of soda ktk choo unachanganya na sabuni ya unga, unasubiri dk 5 unaminminia coka cola kidogo halafu unachukua mao unaifunga steel wire halafu unasugua. Kisha mwagia maji masafi choo kitang'aa. Unaweza kufanya hivi pia kwenye tiles, sinki la kunawia mikono na bath tub.
 
usesahau na jiko na masufuria kuna watu ukienda kwao hata maji ya kunywa wallah utamani
yaani unakuta jiko chafdu,mwenyewe mchafu hayo masufuria sasa mbwa mwenyewe wallah hali
yaani hata upike nini siliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
mtaishia tu kusema naringa
 
shoga yangu kuna watu ni balaaa huku duniani usiombe ukaenda kwao ila nje anapigilia pamba ka hana akili nzuri
 
Mwaga kitchen party mama.
hii sio kitchen party ni fact watu wanaboa jamani maana hana sababu ya msingi ya kuacha kusafisha choo chake mana ukimuangalia ana afya nzuri tu na sio mgonjwa jamani loh!
 
Usafi ni kwa kila mwanadamu kwa sababu ni afya ni si kwa mwanamke peke yake.
ndio mana nikasema hapo mwisho kua huyo mwez wako unayeishi naye ukiona ka mvivu basi msaidie au mwambie athar ya kuzungukwa na uchafu mazingira mnayoishi...............hata kama ni nyumbani kwenu mko wote hadi baba na mama
 
we na smile
siwakaribishi kwangu ng'o
sio fresh bwana mpz mbona tuko poa tu sema ni vijimambo tu vya kinyaa kiko juu sana kupitiliza kiwango cha kawaida cha mwanadamu ndio mana kuvumili hatuwezi ila kwako itakua exceptional mpz tuite tu bila wasi
 
shoga yangu kuna watu ni balaaa huku duniani usiombe ukaenda kwao ila nje anapigilia pamba ka hana akili nzuri
watu wanapigila carolait ka doz hawasahau hata siku moja ila ndani balaa.
je nguo za ndani mtu anafua tena kwa sabuni ya kuogea eti tena na maji yaliyobaki kwenye ndoo sijui
unakuta down kunatemaje? ptuuuuuuuuuu
 
ndio mana nikasema hapo mwisho kua huyo mwez wako unayeishi naye ukiona ka mvivu basi msaidie au mwambie athar ya kuzungukwa na uchafu mazingira mnayoishi...............hata kama ni nyumbani kwenu mko wote hadi baba na
mama

Yaah ni kweli nimekuelewa Aminata ,
ila pia kuna dhana fulani kwenye jamii yetu kuwa usafi ni wa mwanamke zaidi,hasa kwenye malezi unakuta mtoto wa kike anasisitizwa usafi wa kiume ye anaachwa.Hii pia ni mbaya sana.
 
watu wanapigila carolait ka doz hawasahau hata siku moja ila ndani balaa.
je nguo za ndani mtu anafua tena kwa sabuni ya kuogea eti tena na maji yaliyobaki kwenye ndoo sijui
unakuta down kunatemaje? ptuuuuuuuuuu
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sasa usiombe ukae karibu naye acheke anyanyue kimguu juaa na awe kapigilia mini mnatafutana hapo ndani mana ni zaidi ya sewage tema yake loh! mi ngachoka nyaaaa
 
Yaah ni kweli nimekuelewa Aminata ,
ila pia kuna dhana fulani kwenye jamii yetu kuwa usafi ni wa mwanamke zaidi,hasa kwenye malezi unakuta mtoto wa kike anasisitizwa usafi wa kiume ye anaachwa.Hii pia ni mbaya sana.
ha
po nimekupa mwanangu bila chenga ..........jamii inakosea sana na hata ukienda kwa mtu ukikuta nyumba chafu hua wanasega mwanamke aliyeoa mchafy sana si umeona nyumba yao ilivo
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sasa usiombe ukae karibu naye acheke anyanyue kimguu juaa na awe kapigilia mini mnatafutana hapo ndani mana ni zaidi ya sewage tema yake loh! mi ngachoka nyaaaa
raha ya down ni usafi bwana
mtu anavaa underwear za kichina halafu chafu daily mafangasi
naipenda down yangu sana jamani loh
ngoja nitawapa somo siku moja
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom